Ningekuwa mwanamke....

Ningekuwa mwanamke....

Ningekuwa mwanamke nisingekubali kuolewa na hawa wanaume wanaovalia suruali zilizowabana vilivyo huku zikiwa chini ya makalio. wanatembea wakiwa wametanua miguu.

Nisingewakubali hawa wanaume ambao wanatoka na mijimama eti wanalelewa, hawataki kufanya kazi wanaendekeza kulelewa.

Nisingewakubali wanaume wanaotegemea kipande cha Mihogo mibichi, na kipande cha nazi la sivyo hawafui dafu kwenye 6*6.

Wanaume wanaoishi Kwa chips mayai daily.


Wasiotaka kujifunza kwa wazee ambao wanachukua vibinti vibichi na kuvigegeda saana tu.


Ningechukua muda kuwaelimisha wafanye kazi waache kujilegeza, watafute fedha na kuacha kufikiria kulelewa
ASANTE KUTUJAZA MABICHWA!
MSIJE KULALAMIKA TU AKINA DADA WAMEKUWA MBOGO!
 
Ningekuwa mwanamke nisingekubali kuolewa na hawa wanaume wanaovalia suruali zilizowabana vilivyo huku zikiwa chini ya makalio. wanatembea wakiwa wametanua miguu.

Nisingewakubali hawa wanaume ambao wanatoka na mijimama eti wanalelewa, hawataki kufanya kazi wanaendekeza kulelewa.

Nisingewakubali wanaume wanaotegemea kipande cha Mihogo mibichi, na kipande cha nazi la sivyo hawafui dafu kwenye 6*6.

Wanaume wanaoishi Kwa chips mayai daily.


Wasiotaka kujifunza kwa wazee ambao wanachukua vibinti vibichi na kuvigegeda saana tu.


Ningechukua muda kuwaelimisha wafanye kazi waache kujilegeza, watafute fedha na kuacha kufikiria kulelewa
Mkuu umeshaliwa kwa hakika kwa maana ichi ulichojifikirisha hapa kwa kweli unatilia shaka uana ume wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekuwa mwanamke ungekuwa unaifinyia kwa ndani mida hii.aisee we jamaa inabidi uturudishie kadi yako ya uanaume,kwa mawazo ya aina hii uliyoyaandika tayari tushakupoteza,si mmoja wetu tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameshajivua uanachama mwenyewe titimunda mimi kama mwenyekiti nakuamrisha umnyang'anye kadi, mtoe nje halafu ufunge mlango.
Chama letu hua halinaga member wenye akili ya kipuuzi kiasi hiki.

Maendeleo hayana chama
 
Ningekuwa mwanamke nisingekubali kuolewa na hawa wanaume wanaovalia suruali zilizowabana vilivyo huku zikiwa chini ya makalio. wanatembea wakiwa wametanua miguu.

Nisingewakubali hawa wanaume ambao wanatoka na mijimama eti wanalelewa, hawataki kufanya kazi wanaendekeza kulelewa.

Nisingewakubali wanaume wanaotegemea kipande cha Mihogo mibichi, na kipande cha nazi la sivyo hawafui dafu kwenye 6*6.

Wanaume wanaoishi Kwa chips mayai daily.


Wasiotaka kujifunza kwa wazee ambao wanachukua vibinti vibichi na kuvigegeda saana tu.


Ningechukua muda kuwaelimisha wafanye kazi waache kujilegeza, watafute fedha na kuacha kufikiria kulelewa
Mwanaume kufikiri ungekuwa mwanamke ni dalili za ushoga

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Ningekuwa mwanamke nisingekubali kuolewa na hawa wanaume wanaovalia suruali zilizowabana vilivyo huku zikiwa chini ya makalio. wanatembea wakiwa wametanua miguu.

Nisingewakubali hawa wanaume ambao wanatoka na mijimama eti wanalelewa, hawataki kufanya kazi wanaendekeza kulelewa.

Nisingewakubali wanaume wanaotegemea kipande cha Mihogo mibichi, na kipande cha nazi la sivyo hawafui dafu kwenye 6*6.

Wanaume wanaoishi Kwa chips mayai daily.


Wasiotaka kujifunza kwa wazee ambao wanachukua vibinti vibichi na kuvigegeda saana tu.


Ningechukua muda kuwaelimisha wafanye kazi waache kujilegeza, watafute fedha na kuacha kufikiria kulelewa
Kweki umeongea Point tupu
 
Back
Top Bottom