nickname
JF-Expert Member
- Dec 20, 2009
- 544
- 147
Kama CCM ina fedha nyingi kwa nini wasitumie hizo fedha kuwavutia wananchi wakipende? Simple logic...ningekuwa mimi ni katibu mkuu wa CCM ningekaa na wenzangu tukajadili kuhusu miradi itakayowasaidia wananchi moja kwa moja.Tukaandika Project Plan tofauti na Ilani ya chama,hiyo project plan ni kuhusu kuanzisha miradi nchi nzima inayowagusa wananchi moja kwa moja ikawapatia vijana na wakinamama ajira na kuweza inua vipato vya wananchi.
Moja ya malengo ya miradi hiyo ni kuongeza pato la chama,kuwapatia ajira wanawake na vijana ambao ndio wapiga kura wengi na kuongeza imani ya wananchi kwa CCM.
CCM ina fedha nyingi, Project Plan ikishapitishwa na Kamati Kuu basi ;miradi ya chama inaanza mara moja.Baada ya miaka 2 hadi mitatu maisha ya wananchi yanainuka na wananchi wengi wanaanza kuipenda CCM na hata hao wabunge walioshindwa watashinda kiulaini uchaguzi unaofuata.
Lakini kwa sababu cheo cha Ukatibu na vyeo vingi ndani ya CCM na serikali ni vya kupeana basi hata walio na akili pungufu wanapata uongozi na ni hao kina Ma kamba watakaoleta machafuko hapa Tanzania. Makamba hafai kuwa katibu wa CCM