Ningekuwa mimi ni Makamba.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ningekuwa mimi ni Makamba..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nickname, Nov 20, 2010.

 1. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Kama CCM ina fedha nyingi kwa nini wasitumie hizo fedha kuwavutia wananchi wakipende? Simple logic...ningekuwa mimi ni katibu mkuu wa CCM ningekaa na wenzangu tukajadili kuhusu miradi itakayowasaidia wananchi moja kwa moja.Tukaandika Project Plan tofauti na Ilani ya chama,hiyo project plan ni kuhusu kuanzisha miradi nchi nzima inayowagusa wananchi moja kwa moja ikawapatia vijana na wakinamama ajira na kuweza inua vipato vya wananchi.

  Moja ya malengo ya miradi hiyo ni kuongeza pato la chama,kuwapatia ajira wanawake na vijana ambao ndio wapiga kura wengi na kuongeza imani ya wananchi kwa CCM.

  CCM ina fedha nyingi, Project Plan ikishapitishwa na Kamati Kuu basi ;miradi ya chama inaanza mara moja.Baada ya miaka 2 hadi mitatu maisha ya wananchi yanainuka na wananchi wengi wanaanza kuipenda CCM na hata hao wabunge walioshindwa watashinda kiulaini uchaguzi unaofuata.

  Lakini kwa sababu cheo cha Ukatibu na vyeo vingi ndani ya CCM na serikali ni vya kupeana basi hata walio na akili pungufu wanapata uongozi na ni hao kina Ma kamba watakaoleta machafuko hapa Tanzania. Makamba hafai kuwa katibu wa CCM
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Conclusion imenichekesha mno.
   
 3. w

  werema01 Member

  #3
  Nov 20, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu kumbuka nia ya chama cha siasa si kuendesha miradi, la sivyo kwa wazo lako ingeitwa ccm investment. Hii ngeleta maana zaizdi kama chama cha wafanyabiashara na iachie kuongoza taifa kwa chama mbadala....

  Matatizo ya chama yanajulikana, wayatatue ili waongoze dola katika misingi inayotakiwa
   
 4. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  ujaeleweka, ungekuwa makamba ungalifanya nini? UNGELIKUWA umefungwa kwa kashifa ya Kabinti ukiwa Mwalimu, au kufungwa kwa Kuwatetea mafisadi, Ungekuwa Mropokaji na Msahaurifu wa mada, Ungeomba usiachwe na Rais wa kati wa kampein za Kwanza, ungendeleza Mtandao mbovu wa mapambano wa watafuta haki zidi ya Mafisadi, ungeunga oja ya kunyanganywa kadi kwa sita, ungelindaganya Mamayake Sita kule Tabora kuwa mpo pamoja kutokomeza ufisadi huku unamtosa, ungechanga ela kuakikisha 6 arudi bingeni kuwa msheshiwa SPK, ungelilaaniwa kwa kutumia bible na Qrn huku ukikumbatia unafiki kwa kusema Sie Cim akina mafisadi Lol
   
 5. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Sorry nilikosea Title ,Kama ningekuwa Katibu Mkuu wa CCM
   
Loading...