Ningekuwa maarufu pia ningeoa Rwanda

Ningekuwa maarufu pia ningeoa Rwanda

Usingoje sana mkuu kwa kuusubiri umaarufu we jisogeze tu huko mpakani mwa Yz&Rwnd utakuwa umerahisisha kaz
 
ila kwa sababu siyo maarufu basi kaoe uwanja wa fisi kwa sababu hamna namna!
 
Mimi sijui atakua ni raia wa nchi gani ,ila naomba sana Mungu anisaidie nipate mke mwema kutoka nje ya Tanzania
 
hv hawa wasanii wa kike wa bongo hawawez kujibu mapgo na wao kuolewa mbele kama# south, [HASHTAG]#america[/HASHTAG], nk wakishindwa kbsa waolewe basi hata [HASHTAG]#burundi[/HASHTAG] tu
 
Bora niende zangu Ethiopia,mara warwanda hawafai sijui chupi mkononi,sijui Mombasa hawafai sababu wanapenda kutumia mtandao pendwa tuwaelewe vp ss!,mm Ethiopia moja
 
kuna mahali huwa nahis km mombasa ni nchi ingine na kenya ni nchi inginee
Alafu msumbiji kongo zambia na ni majirani zetu pia msikimbilie mombasa na rwanda jamani....
 
Hamna hela mbona lady jay dee yuko na mnaijaaa nasisi tutaanza kuruka nje tu!
Wanigeria ni mamario tu,jide pale kajiweka tu kupunguza stress za yule jamaa aliekua anamkojoza kwa zaidi ya miaka 10
 
Inabidi ujue ni watu wa aina gan waliooa huko afu ujilinganishe, na maisha halisi wanayoishi, mitandaoni sifa kedekede, wewe ni staa ?
Hivi msanii nae ni.MTU wa kumtolea mfano kwenye swala la ndoa?
Watu tumesubiri diamond atembee na.magoti hadi sauzi ahaaa umepotea dogo kwanza tafuta, pesa maana hao waliooa huko walienda .kuwa ndege usiwe unajilinganisha nao kwenda Rwanda na basi
 
Back
Top Bottom