Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 915
- 752
Nimeona imekuwa kawaida sasa Vijana wengi wasanij wa TZ wanaenda kuoa nje ya Tanzania.Binafsi nikawa najiuliza kwanini hawaoi hapa Tz.Je kuwa hapa hakuna warembo? Siko karbu sana na wasanii yamkini ningepata mambo kadhaa yanayopelekea wasioe hapa.
Ameonakana AY kaoa Rwanda,Alikiba leo anaoa Kenya,Diamond amezaa na mdada wa Uganda..kuwataja wachache..
Mimi nikawa najiuliza kwanini si TZ?.Najua siyo vibaya lakini wadada zetu wana matatizo gani?
Nikahisi labda kwa sababu wasanii wengi wamerundikana Dar es salaam hivyo wanafahamiana sana hasa michezo yao kwani unaweza kuta msanii mmoja ameshatembea na wasanii wengine wote hivyo wanaona si jambo la heri kuoa watu wa aina hiyo.
je wewe unadhani nini hasa kinapelekea hii?