Thread yako inaonesha kipimo cha akili yako! Hivi mkiiba na mwenzako utaita wandishi useme kuwa tuliiba wote,sheria itakuacha?
Mambo ya CCM yanawahusu nini shughulikieni matatizo yenu yaliyomo CDMMahali alipofikishwa Lowassa ni sawa na mahali walipo arsenal. hawana nafasi ya ubingwa wakicheza hawana na kupoteza. Lowassa hana cha kupoteza. wameshamzika kisiasa na hana nafasi tena ccm. ingekuwa mimi ningezungumza na waandishi nitoe siri zote na mabaya yote ya serikali. ccm nzima imeoza na kuchukua watu watatu kama ndio mafisadi si haki. kuna uwezekano wa lowassa kusimama tena kama akifuata ushauri wangu
kwani wameiba nini? ukweli ni kwamba lowassa anaweza kuwa mla rushwa ila kwa hili la dowans anaonewa. nilishawahi kuzungumza nae anasema mipango yote ya kuja dowans na mikataba jk alishirikishwa. ndio maana kwenye hotuba fulani jk alisema 'nilimuuliza msabaha...' . kumhukumu lowassa kwa hili hadi kumwondoa ccm bila ushahidi narudia si haki.
Jenga hoja, sie wengine ni CCM lkn ufedhuliwa watu kama nyie ndo unatufanya hata baada ya miaka 50 ya uhuru MTZ bado anaishi chini ya dola moja kwa siku.Mambo ya CCM yanawahusu nini shughulikieni matatizo yenu yaliyomo CDM