Ningekuwa jogoo!

Ningekuwa jogoo!

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
ningekuwa jogoo jman ingekuwa raha sana,madem wangenikoma ile mbaya,popote pale ninge wa do.kwenye daladala nikikaa na demu mzuri ningejisevia tu juu ya siti,Ningeamka asubuh na mapema nawahi stedi najichagulia dem mkare wale ambao ndo kwanza wanatoka kwenye dressing table bado wananukia nam****Au nasimama pale ikulu kwa MKUU WA NCHI,mke wake akitokeza tu nam "do"fasta nkimbia zangu.Kuna demu mmoja wa bosi wangu namtamani,ila naogopa kufukuzwa kazi ningekuwa jogoo ningem''''''mbele ya boss.jamani kuwa jogoo raha!
 
Mkuu, kila mtu kapangiwa maisha mazuri sana tena yenye mafaanikio.
Ni uwezo wako tu wakuichagua ndoto yako na kuamua kuifata hadi utakapo itekeleza.
Kama kwako wewe ulie umbiwa binadamu ndoto yako ni kua jogoo ili uweze 'kum-do' demu wa bosi, basi maana yake kiwango chako cha kutekeleza maisha yako ndio kimekukwamisha hapo.
 
Ungekuwa jogoo tunakupeleka Uingereza kwa Cameron kama zawadi ya mtoto wa malkia,then ukifikishwa huko,jogoo wa malkia anaku-do!
 
yaani wewe ndio ungegeuzwa kitoweo mapema kwa kiherehere chako!!!!! mpaka magogoni lol!!!!!
 
Ningekuchinja mapema kabisa alafu unapikwa supu.
 
Una mbio wewe? maana nae sio anapata kirahisi rahisi, ni lazima akimbize vya kutosha. Halafu huchagui, hata mama yako utam 'do'.
 
ningekuwa jogoo jman ingekuwa raha sana,madem wangenikoma ile mbaya,popote pale ninge wa do.kwenye daladala nikikaa na demu mzuri ningejisevia tu juu ya siti,Ningeamka asubuh na mapema nawahi stedi najichagulia dem mkare wale ambao ndo kwanza wanatoka kwenye dressing table bado wananukia nam****Au nasimama pale ikulu kwa MKUU WA NCHI,mke wake akitokeza tu nam "do"fasta nkimbia zangu.Kuna demu mmoja wa bosi wangu namtamani,ila naogopa kufukuzwa kazi ningekuwa jogoo ningem''''''mbele ya boss.jamani kuwa jogoo raha!

.....ukianza kuwika tu wachinjwa.:A S embarassed: alafu utakuwa bado uja-do yeyote yule...lol!:eyebrows:
 
Magogoni ungelimkuta Anna Mkapa ndiyo anatoka, ungelishika adabu yako.
 
Ha ha ha ha,daaah!kua jogoo kwl raha mkuu,wasyojua raha ya ka ungekua jogoo hawawz jua raha yke,ila kua jogoo m kwngu ingekua njema cna,afu jogoo huna masuala ya kubembelezana,yain ujogoo ni UFALME,hata hum ndan ninge...... wote hata....,ningekua jogoo.....,kuwa jogoo diliiii,unachezaa eeeh?mia hyo nimeipnda!
 
ningekuwa jogoo jman ingekuwa raha sana,madem wangenikoma ile mbaya,popote pale ninge wa do.kwenye daladala nikikaa na demu mzuri ningejisevia tu juu ya siti,Ningeamka asubuh na mapema nawahi stedi najichagulia dem mkare wale ambao ndo kwanza wanatoka kwenye dressing table bado wananukia nam****Au nasimama pale ikulu kwa MKUU WA NCHI,mke wake akitokeza tu nam "do"fasta nkimbia zangu.Kuna demu mmoja wa bosi wangu namtamani,ila naogopa kufukuzwa kazi ningekuwa jogoo ningem''''''mbele ya boss.jamani kuwa jogoo raha!
Sasa utafukuzwa kazi vipi na wewe ni demu pia? na huyo demu wa boss wako unamtaka kwani wewe ni msagaji? Nalog off
 
ungekua jogoo ungekua bandani huko bandani na kwenye maofisi ya binadam ungeenda kufanya nini
 
Kwa staili híi Tanzania tutazidi kuwa omba omba. Badala uwaze kufanya kazi we unawaza ku-do tu.
 
Back
Top Bottom