Ningekuwa Ally Kiba

Ningekuwa Ally Kiba

Ndio ujue sasa Kiba alivyokua juu huku leo hatupumi nyuzi za Kiba zimejazana kibao.
Hivi hawamuoni huyo aliyetoa video juzijuzi?

Yani hawa wametumwa wakidhani wana mharibia Kiba kua si kitu kumbe ndo wanazidi kumpaisha.
Mtu wao katoa video mbili baada ya kuona watu hawa mind ndo wameanza kumwandama Ali kiba. Tatizo timu mond wana fight wrong battle aisee wamwache Kiba afanye yake. Kiba anakitu cha zaidi ndo mana wanamwandama.
 
Rockstar entertainment nasikia ni wazungu ndo wenye hii company inayo mmanage kiba"

kumbe hujui lakini kukosoa namba moja, halafu leo naona thread nyingi kumhusu kiba, imekuwaje wajameni?
 
Nilikuwa najiuliza shida ni nini mbona kila kona kiba ndo habari ya mjini?
kumbe kule AUDITAX kiba kura zake ndo zinaongoza na habari zimevuma kila kona.
 
Wew mtoa mada mimi ningekuwa wew ningeshakojoa mapema now ningekuw kitandani nimelala
 
Hahaaaa kwake wanahangaika mno leo aisee.

Taarifa zimevuja kiba ndo anaongoza kwa kura kwa kila category ndo maana mamy.
Wanahahaaa balaaa yaan mpaka now kiba ndo mshindi bado kutangazwa tuu
 
Nijuze basi abt hz management nataka kujua.

najua ww unatokea kambi ile nyingine, kwahyo ni vizuri ukamshauri huyo maana sidhani kama amefika mwisho, mpe mbinu zaidi ili aweze kusonga mbele zaidi
 
Umenena haswaaa natumaini atakusoma na kujibadili maana... 😱😱
 
Yani hawa wametumwa wakidhani wana mharibia Kiba kua si kitu kumbe ndo wanazidi kumpaisha.
Mtu wao katoa video mbili baada ya kuona watu hawa mind ndo wameanza kumwandama Ali kiba. Tatizo timu mond wana fight wrong battle aisee wamwache Kiba afanye yake. Kiba anakitu cha zaidi ndo mana wanamwandama.

changamoto tu!.
 
Taarifa zimevuja kiba ndo anaongoza kwa kura kwa kila category ndo maana mamy.
Wanahahaaa balaaa yaan mpaka now kiba ndo mshindi bado kutangazwa tuu

Aiseee kumbe mana leo wame chachamaa mno. Sasa wao si international kinacho wahangaisha nini?
 
we cut b na diva b wote inaonekana mnanipenda..:nikalale wapi sasa

Hahhaaaahaaa ukalale wapi?
Kalale njia panda uchi ubadilishe matokeo ya mwana kuchukua video bora ya mwaka
 
Hahhaaaahaaa ukalale wapi?
Kalale njia panda uchi ubadilishe matokeo ya mwana kuchukua video bora ya mwaka

Hahahaha mi nakwambia hawa team mond lazima waje wapanic siku ya tuzo maana wameshaanza kuweweseka mapema mno
 
Hahahaha mi nakwambia hawa team mond lazima waje wapanic siku ya tuzo maana wameshaanza kuweweseka mapema mno

Hivi tuzo zinaingiza pesa au ujuzi wa msanii kama amepwaya tayari?
Natumaini atapaa kikazi baada ya siku hiyo na nasubiria bonge la spichi zake asikimbie tu kama za kwa tuzo za watu.
 
Back
Top Bottom