Yaaap! samahani lakini! Bila shaka tunaenda sawa. Laiti kama ningelikuwa Ally Kiba, ningefanya yafuatayo;
- Ningeua nyani huku namuangalia usoni. Yaani ningevunja vunja uongozi wangu wote na kuunda safu mpya au kufanya kazi mwenyewe.
Muundo wa uongozi:
- Afisa Masoko
- Time manager
- Mtu wa mavazi
- Mshauri na wengineo
- Ningeupa mwili wangu thamani ya sauti yangu. Ningeuvalisha vizuri, ningeupa mda wa kupumzika, ningejifunza zaidi kwa waliofanikiwa duniani.
- Ningepiga collabo la faster na mcongo man (Fally Ipupa) kwa kua ananikubali ili kujizolea mashabiki wake.
- Ningeacha kuteas kitu ambacho hakijakamilika au kinachotarajia kufanyika miezi ijayo.
- Ningehama kunduchi nakuhamia bunju.(usiulize kwanini)
- Ningevunja sijui team A mara team B yani ningekua neutral ili yoyote apendae kazi zangu anisaport.
- Nisingetangaza kufanya shoo za live bali ningefanya kama saprise.
- Ningempa director chipukizi wa Bongo kushoot cheketua.
- Ningeoa
Tuendelee wadau, kesho tunaamia kwa FID Q kimtazamo tu!
Au niendelee..?