Ningekua na tabia kama ya mr mass!

Shapecha

Member
Oct 21, 2010
45
1
Ningekua mie ndiyo mr Mass ningefanya yafuatayo based kwa tabia yangu.
1. Ningeshahama CDM na kujiunga na CCM ili nipewe Cheo hasa uwaziri nijenge CV
2. Ningehamia NCCR kama Kafulila ili nikaulambe uenyekiti wa NCCR sijui mbatia angekubali maana nae kitambo yupo kwenye kile kiti

Kama ungekua wewe ungefanyaje hebu ongezea
 
Back
Top Bottom