CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 7,617
- 16,712
Ushabiki unakupovusha.HAKIKA NGOMA ALIIBWA AIR PORT MAIN OF THE MATCH SUPER LEAGUE.
JEJI NO 6 MGONGONI
Baada ya KURUDI nyumbanj dipo Nikarudi kwenda kuutazama Mpira vizuri.
Possession mashuti nk nk
Kwa kuachia mianya then wakaludi nyuma kuziba mianya mnieleweshe alichoandka hapa.Ushabiki unakupovusha.
Unamsifia Ngoma ilihali Al Ahly walikuwa wanacheza kwa kuachia mianya. Hawakuwa wana press bali waliwaacha Simba wacheze mpira wao wanarudi golini kwao kuziba mianya. Hapo kwa vyovyote viungo wa Simba wanakuwa wana muda wa kufanya maamuzi.
Ukitaka kujua udhaifu wake, Simba ikutane na timu inayocheza kwa kasi au wa press kwanzia juu utaona Ngoma anavyogeuka mpoteza pasi na mkosa maamuzi sahihi.
Halafu kwani mashindano yameisha? Kwanini mashindano yanaendelea na wewe umekuja kutoa hitimisho? Umeangalia mechi zote za AFL?
Mbumbumbu mna taabu sana. Hiyo AFRICN FOOTBALL LEAGUE na si upuuzi huo uliouandika kwenye heading!Hakika ngoma aliimbwa, Airport Man of The Match Super League, Jezi no 6 mgongoni
Tarehe 20, October majira ya jioni kabisa nilikuwa nimekaa na mtaalamu wa kusoma mchezaji wa mpira (scaut) kutoka Timu moja ya London, ambaye pia ni Coach na Game analyst.
Tulikuwa tumekaa kutizama mpira katika Uwanja wa Benjamin Mkapa (Lupaso) nikiwa na mgeni wangu kama mwenyeji wake na Mentor, ninapata madini mengi mno kutoka kwake.
Niende moja kwa moja kwenye mada kuu.
Nilibahatika kuangalia mchezo laikini jicho langu liliamua kumuangalia na kumfuatilia mchezaji mmoja tu.
Nilijikuta siwezi kufanya analysis ya mchezo badala yake nilikuwa nimejikita kumtizama kijana mmoja kutoka Congo Kinshasa Zaire ya Mobutu. Nikimtazama mchezaji mrefu mweupe futi 6.2.
Nilimuona akiwa kiungo, kweli kweli katika ubora wa hali ya juu mno akidhihirisha uwezo wake mkubwa kuwa amecheza Timu kubwa kama As Vita na Raja na Timu ya Taifa ya Congo. Alipiga pass karibuni zote kwa usahihi, na alicover eneo kubwa sana katikati ya uwanja.
1. Uwezo wa kusambaza pasi: Nilimuona Ngoma akiwa na uwezo mzuri wa kutoa pasi za uhakika kwa wenzake, kuendesha mchezo, na kusaidia timu kudhibiti mpira.
2. Uwezo mkubwa wa kiakili na maamuzi: Nilimuona Ngoma akiwa na maamuzi ya haraka katikati uwanja. Akiweza kutumia akili kusoma mchezo na kuchukua maamuzi sahihi kwa kila tendo lake katikati ya uwanja.
3. Uwezo wa Kupiga Mashuti: Nilimuona Ngoma akirotate mpira na kupiga mashuti ya hatari kuelekea lengo la Al Ahly na kuwakosa kosa.
4. Kujitolea kwa Ulinzi: Nilimuona pia Ngoma akidrop down katikati ya walinzi wawili Inonga na Chemalone. kuanzia kuchukua mipira kusambaza pasi nk.
5. Uwezo wa Kukaba na Kuiba mpira: Ngoma pia alionyesha uwezo wa kukaba, kupora mipira, japo si mzuri sana katika hilo. Simba hapa wanapaswa kutafuta Kiungo Mkabaji mwenye uwezo mkubwa atakayekuwa wa kukaba na kuilinda back four yake, na hili ndio eneo linalowaponza zaidi Simba kwa sasa.
6. Ujuzi wa Kimwili na Stamina: Nilimuona pia Fabrice akiwa ametawaka mipira ya juu kama Kanute kuwa na uwezo wa kukimbia kwa muda mrefu uwanjani, kuwa na nguvu za mwili, na kuwa tayari kwa juhudi za kazi nzito.
7. Uwezo wa Kuwasiliana na Timu: Nilimuona pia Midfielder Teacher kwa uwezo mkubwa wa kutoa maelekezo, kuwasiliana na wenzake, kuanzia akina Chama, Inonga, Saido nk.
Hizi sifa zote niliweza kuziona kwa Midfielder Teacher Fabrice Luamba Ngoma.
Baada ya mchezo nikaulizwa huyu kiungo ni Mtanzania kweli? Baada ya kurudi nyumbani dipo nikarudi kwenda kuutazama mpira vizuri, possession mashuti nk.
Mchezaji anatathminiwa kwa mechi moja ajabu!
Jipe muda ukwel utaujua vizuri mwanasimba mwenzangu
Kumbuka kesho tupo ugenn Tena uje na tathmin Kama hii tena
Maanake ni hivi, kuna timu huwa zinakaabia juu kabisa ila Al Ahly hawakuwa wanakabia juu bali wanakabia kwenye eneo laoKwa kuachia mianya then wakaludi nyuma kuziba mianya mnieleweshe alichoandka hapa.
Ushabiki unakupovusha.
Unamsifia Ngoma ilihali Al Ahly walikuwa wanacheza kwa kuachia mianya. Hawakuwa wana press bali waliwaacha Simba wacheze mpira wao wanarudi golini kwao kuziba mianya. Hapo kwa vyovyote viungo wa Simba wanakuwa wana muda wa kufanya maamuzi.
Ukitaka kujua udhaifu wake, Simba ikutane na timu inayocheza kwa kasi au wa press kwanzia juu utaona Ngoma anavyogeuka mpoteza pasi na mkosa maamuzi sahihi.
Halafu kwani mashindano yameisha? Kwanini mashindano yanaendelea na wewe umekuja kutoa hitimisho? Umeangalia mechi zote za AFL?
Mechi ya Simba vs Al AhlyUmeandika kiufundi sana Mkuu.
Sifa ninazompa NGOMA alipokuwa anachukua Mipira CHINI (track back)
Anakaa na Mpira, anawavuta wapinzani Wakienda kumkaba anatoka pass ya usahihi mno (anavisha mistari miwili) kwenda kwa chama au KIBU.
Alikuwa Bora sana kwenye MATUMIZI ya space na time.
Anaudhaifu kiasi kwenye kukaba, timu isipokuwa na mpira, si mzuri sana kwenye Kukaba.
Simba Haina Kiungo mkabaji hata Mmoja.
Mzamiru ni 8,
Kanute 8.
NGOMA NAYE ni 8.10,
Porojo.Wakina Ngoma Yanga wapo kama wanne hivi!!!
Una akili ndogo! Ndogo Sana!Ushabiki unakupovusha.
Unamsifia Ngoma ilihali Al Ahly walikuwa wanacheza kwa kuachia mianya. Hawakuwa wana press bali waliwaacha Simba wacheze mpira wao wanarudi golini kwao kuziba mianya. Hapo kwa vyovyote viungo wa Simba wanakuwa wana muda wa kufanya maamuzi.
Ukitaka kujua udhaifu wake, Simba ikutane na timu inayocheza kwa kasi au wa press kwanzia juu utaona Ngoma anavyogeuka mpoteza pasi na mkosa maamuzi sahihi.
Halafu kwani mashindano yameisha? Kwanini mashindano yanaendelea na wewe umekuja kutoa hitimisho? Umeangalia mechi zote za AFL?
Jaribu kubana mkojo Hadi ufe kwa mateso makali.Mbumbumbu mna taabu sana. Hiyo AFRICN FOOTBALL LEAGUE na si upuuzi huo uliouandika kwenye heading!
Kenge wewe
Mwenye akili kubwa jibu kwa hojaUna akili ndogo! Ndogo Sana!
Jamaa anasemaga yy ndio anaujua mpira vzr mno na aliwashauri simba hawakumsikiliza ,hahahahaUshabiki unakupovusha.
Unamsifia Ngoma ilihali Al Ahly walikuwa wanacheza kwa kuachia mianya. Hawakuwa wana press bali waliwaacha Simba wacheze mpira wao wanarudi golini kwao kuziba mianya. Hapo kwa vyovyote viungo wa Simba wanakuwa wana muda wa kufanya maamuzi.
Ukitaka kujua udhaifu wake, Simba ikutane na timu inayocheza kwa kasi au wa press kwanzia juu utaona Ngoma anavyogeuka mpoteza pasi na mkosa maamuzi sahihi.
Halafu kwani mashindano yameisha? Kwanini mashindano yanaendelea na wewe umekuja kutoa hitimisho? Umeangalia mechi zote za AFL?
Jamaa anasemaga yy ndio anaujua mpira vzr mno na aliwashauri simba hawakumsikiliza ,hahahaha