Ninayoyaona wakati wa Uchaguzi yakitokea

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
(1)Naona vurugu kila mahara hapa Tanzania,huku watu wakipambana na polisi

(2)Naona Vurugu kubwa kwenye miji ya Mbeya,Mwanza,Iringa Moshi,Mara na mingineyo

(3)Naona wale Viongozi waliokuwa wa Chedema wakiwa katika wakati mbaya kabisa nyumba zao zikichomwa moto

(4)Hali imekuwa ngumu ndani ya siku moja kila kitu hakieleweki watu wanajiuliza walikuwa wapi kuyazuia haya, Lawama zote wanatupiwa serikali lakini wao wanamtupia Tundu Lissu na CHADEMA

(5)Umoja wa Mataifa unaishinikiza Tanzania kuludia uchaguzi

(6)Hatimaye serikali imekubali masharti yote ya Chadema

(7)Uchaguzi umerudiwa ukiwa chini ya Tume huru uchaguzi

(8)Lissu ameshinda uchaguzi kwa asilimia 64 anakuwa Rais wa Tanzania
 
Continue dreaming!
No reforms no election
 
Endelea Kulala Mkuu
 
Lisu aliopolewa na mapolisi mbele ya kadamnasi kule Mbinga. Hiyo vurugu utaifanya chini ya uvungu. Tafakari😁
Anayeweza kujibu hivi ni kuwa wewe kama sio CCM basi ni mnufaika wa CCm.
Pole pole anasema wahuni sio lazima kuonekana kama yule muigizaji wa joti baunsa wa matatuu
 
Mtakaotaka kutufanyia fujo siku ya uchaguzi lolote tu liwapate. Kama ni kipigo cha mbwa koko, basi na iwe halali yenu. Ujinga ujinga hatutaki.
Huyo lisu wa kushinda uchaguzi wa marudio ndiye yupi? Huyu huyu wa kukinukisha ambaye kwenye vurugu mtakazoanzisha yeye ndiye atakuwa target #861? Muwe mnatumia akili kufikiri!
 
(1)Naona vurugu kila mahara hapa Tanzania,huku watu wakipambana na polisi

(2)Naona Vurugu kubwa kwenye miji ya Mbeya,Mwanza,Iringa Moshi,Mara na mingineyo

(3)Naona wale Viongozi waliokuwa wa Chedema wakiwa katika wakati mbaya kabisa nyumba zao zikichomwa moto

(4)Hali imekuwa ngumu ndani ya siku moja kila kitu hakieleweki watu wanajiuliza walikuwa wapi kuyazuia haya, Lawama zote wanatupiwa serikali lakini wao wanamtupia Tundu Lissu na CHADEMA

(5)Umoja wa Mataifa unaishinikiza Tanzania kuludia uchaguzi

(6)Hatimaye serikali imekubali masharti yote ya Chadema

(7)Uchaguzi umerudiwa ukiwa chini ya Tume huru uchaguzi

(8)Lissu ameshinda uchaguzi kwa asilimia 64 anakuwa Rais wa Tanzania
Vulugu uchaguzi ukiludiwa kila mahara kaanzie
Shule form two au QT yo are nonsense
 
(1)Naona vurugu kila mahara hapa Tanzania,huku watu wakipambana na polisi

(2)Naona Vurugu kubwa kwenye miji ya Mbeya,Mwanza,Iringa Moshi,Mara na mingineyo

(3)Naona wale Viongozi waliokuwa wa Chedema wakiwa katika wakati mbaya kabisa nyumba zao zikichomwa moto

(4)Hali imekuwa ngumu ndani ya siku moja kila kitu hakieleweki watu wanajiuliza walikuwa wapi kuyazuia haya, Lawama zote wanatupiwa serikali lakini wao wanamtupia Tundu Lissu na CHADEMA

(5)Umoja wa Mataifa unaishinikiza Tanzania kuludia uchaguzi

(6)Hatimaye serikali imekubali masharti yote ya Chadema

(7)Uchaguzi umerudiwa ukiwa chini ya Tume huru uchaguzi

(8)Lissu ameshinda uchaguzi kwa asilimia 64 anakuwa Rais wa Tanzania
Nyi wacenge msiojua kuandika kiswahili mnatokea wapi!?
 
Anayeweza kujibu hivi ni kuwa wewe kama sio CCM basi ni mnufaika wa CCm.
Pole pole anasema wahuni sio lazima kuonekana kama yule muigizaji wa joti baunsa wa matatuu
Jamaa wa Simiyu nasikia nao wamebwaga manyanga wewe na Heche endeleeni kukaza fuvu😁
 
(1)Naona vurugu kila mahara hapa Tanzania,huku watu wakipambana na polisi

(2)Naona Vurugu kubwa kwenye miji ya Mbeya,Mwanza,Iringa Moshi,Mara na mingineyo

(3)Naona wale Viongozi waliokuwa wa Chedema wakiwa katika wakati mbaya kabisa nyumba zao zikichomwa moto

(4)Hali imekuwa ngumu ndani ya siku moja kila kitu hakieleweki watu wanajiuliza walikuwa wapi kuyazuia haya, Lawama zote wanatupiwa serikali lakini wao wanamtupia Tundu Lissu na CHADEMA

(5)Umoja wa Mataifa unaishinikiza Tanzania kuludia uchaguzi

(6)Hatimaye serikali imekubali masharti yote ya Chadema

(7)Uchaguzi umerudiwa ukiwa chini ya Tume huru uchaguzi

(8)Lissu ameshinda uchaguzi kwa asilimia 64 anakuwa Rais wa Tanzania
Mungu atufanyie wepesi
 
Back
Top Bottom