wana jf nimeshangaa kusikia eti mtu kaenda mpaka Israel kutafuta limtambo la kuandika sms zile akina Lameck madelu mkumbo(Mwigulu Nchemba) wakati mm ninayo toka mwaka juzi just kaprogram tu tena kanatumia bluetooth, ni ajabu hata intelijensia makini ya kina marando aliyeshiriki kumwinda akina kapten kajaja na akina tamim enzi zile za mapinduzi ya tanganyika, kwa yeyote anayeitaka adownload kupitia JAVA LINKS :: na hii ni maalum sana kwa wale wenye nokia na ina uwezo wa kutumia simu ya mwingine kutuma msg, kupiga, kuiba salio, na mengineyo mengi sana ninayo nyingine ambayo ina uwezo wa kupata pasword zoote kwenye simu ya mwingine. mbona haya mambo ni rahisi sana ha ha ha ha magamba mmekwisha kwa teknolojia rahisi mliyoileta. haya ndo maelezo yao
To change language open 'nastavenia' -> 'jazyk' select 'english' and press 'späť'.
Program for controlling and reading information from remote phone via bluetooth or infra. Phone List and SMS can be stored in html format.
The latest version features the following functions:
ijaribu then utagundua ni rahisi kufanya yale ya marando bila kuleta limtambo
- Informations: display informations about battery, network, sim card
- Ringing: playing sounds of incoming call, alarm clock...
- Calls: dialing number, ending a call..
- Language: change language in phone
- Keys, Pressed keys: pressing and watching pressed keys
- Contacts
- Reading SMS
- Silent mode: turning on or off
- Phone functionality: turning off the network / phone
- Hlasitosť zvonenia
- Alarms:
- Clock: change date and time
- Phone locks
- Clip, Clir
- Change network operator
- Java: start, delete java applications
- Media Player
- Text
- SE applications
- Calendar
- Keys sound
- Temperature:
- Paired devices:
- Volume
- Memory status:
- Radio icon
- Keylock
Hi all
Mtambo unao ongelewa hapa unafanya kazi within 5km radius,
Hii software yako inahitaji muhusika(simu unayotaka kucheat iwe karibu sana infrared(~1-2m) na bluetooth uwe (~4m)
inakuhitaji uwe na access na simu ya unaetaka kucheat as in it will request confirmation on request on both handset,
so ni ngumu kwa watu zaid ya 2 watume sms kwa mtu 1 kwa wakati 1 bila wao kujua
naona chadema wadanganya wenyewe kwa wenyewe huyu anazumguzia software marando anazungumzia mtambo kuandika sms...kwa hiyo mbowe, mnyika, wanatumia nokia na bluetooth na infared zilikuwa on? Hata ukiangalia wabunge wanavyokaa bungeni wa chadema na wa ccm wapo mbali mbali...kwa hiyo unataka kutuambia wabunge wote wa chadema wanatumia nokia hakuna anayetumia iphone, blackberry, ipad, wala simu zingine.
tatizo lenu wewe na mdogo wako (miraji) ambae alikua kibaka makole kule na kisasa dodoma mnajifanya tanzania yenu na najua ipo siku mtatambua kuwa sasa tuna hamu nanyi hebu pitia hii hapa ambayo inahitaji elfu tano mia tatu ili kupata sms 5 za namna yenu ambazo mkatuma moja toka kwa mnyika na nyingine toka kwa lissu mkamsakizia yule lameck madelu wa watu mkamuingiza mkenge imekula kwenu hiiNaona Chadema wadanganya wenyewe kwa wenyewe huyu anazumguzia software Marando anazungumzia mtambo kuandika SMS...kwa hiyo Mbowe, Mnyika, wanatumia Nokia na bluetooth na infared zilikuwa ON? hata ukiangalia wabunge wanavyokaa bungeni wa Chadema na wa CCM wapo mbali mbali...kwa hiyo unataka kutuambia wabunge wote wa Chadema wanatumia Nokia hakuna anayetumia iPhone, Blackberry, ipad, wala simu zingine.
Program yako inawezakuwa inafanya kazi lakini kwa kifupi ni kuwa imepitwa na wakati. Watu wengi siku hizi hawatumii simu zenye OS ya Java, sikuhizi tunatumia Android, iOS na Windows Mobile. Program yako ina uwezo wa ku deal na only Java based Mobile Phones kwahiyo usiwabeze wanaenda Israel kununua hiyo mitambo. Ever heard of EKSP1210? Google that....
tupeni namba ya mwigulu ili tutesti hii program tuone ka inafanya kazi
Tatizo hii huduma siyo FREE, inabidi uwe na "PINCODE" ambayo unalipia.
Lakini kwa magamba si tatizo kwani wanatumia pesa zetu za mifuko ya jamii kufanya ufirauni huu.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!