Hivi wewe dogo si ulishaleta topiki hapa kuwa wazazi wako hawamtaki huyu binti na tukakushauri?Habari zenu? Kuna single mama mmoja binti wa miaka 25, nimekuwa naye kwenye mahusiano Kwa karibu mwaka mmoja na sasa hivi ana ujauzito wangu wa miezi 5. Ila ana mtoto wa miaka mitano aliyezaa na mwanaume mwingine. Huyo mwanaume walishaachana kitambo tangu mtoto akiwa ana mwaka na jamaa huwa anatuma fedha za matumuzi tu.
Sasa Mimi nikawa nimevitiwa na huyo dada kutokana na uchapakazi wake, na hata dukani ana kauli NZURI Kwa wateja na ana mkono wa Biashara kweli kweli. Nikaona huyu ndiye mwanamke wa kuanza naye maisha japo nawaogopa ma single mother ila nikaamua Nile ngumu.
Cha ajabu majuzi nimekuta msg za mwanaume mwingine kwenye simu, Tena sio baba mtoto wake ila mwanaume mwingine kabisa na walikuwa wnapanga miadi ya kuonana waka vunje amri ya sita. Sasa kilichonishitua zaidi ni binti huyu kuwa na uthibutu wa kuchepuka akiwa mjamzito Tena Tumbo tayari limeanza kuonekana. Hivi akishajifingua itakuwaje?
Sasa hapa niko dilema sijui nifanyaje coz ujauzito ni kweli WA kwangu Nina uhakika asilimia 98, na binti ni mchapa kazi Yana ana sifa zote za kuwa mke. Ila kilichonishitua ni hiyo tabia yake. Najiuliza kama itakuwa sahihi kumuacha akiwa mjamzito?
Na pia nilipomuuliza kuhusu huyo MCHEPUKO alijotetea akasema ilikuwa ni chatting tu, coz ni mwanaume wake wa zamani sana ila hawajafanya chochote, na ameshamwambia kuwa yeye ni mchumba WA mtu hivyo hakuna kinacho endelea kati yao.
Mnanishaurije hapo wadau?
[emoji23] Eve huwa nakukubali sanaPiga chini.....
Next baby dady inabidi aoneshwe makaburi mawili.
Poleni sana.Note this.
Wavaa chupi wote hawana akili,ni mafirauni,mafisadi nk
Poleni ya nini mkuuPoleni sana.
Kwa kukumbana na mafisadi na mafirauni.Poleni ya nini mkuu
Ndio biashara yenyeweUshajua kwanini mwenzio alimuacha akiwa na mtoto mdogo, jiongeze, unless unataka mke mfanyabiashara mwenye kaumalaya ndani yake.
Note comment yangu mkuu itakusaidia baadae sanaKwa kukumbana na mafisadi na mafirauni.
Sawa rafiki.Note comment yangu mkuu itakusaidia baadae sana
Ni lazima kuowa Ila sio lazima kuto kuowa sema Sasa hivi una nguvu bado so una weza kuona Ina wezekana kuishi bila mkeKwa kufa bila mke au mume ni dhambi? Wateule wa ndoa ni wachache mkuu.
Picha umeiona au wahisi photoshop unataka video. Subiri utaiapta kwenye ndoa video.Habari zenu? Kuna single mama mmoja binti wa miaka 25, nimekuwa naye kwenye mahusiano Kwa karibu mwaka mmoja na sasa hivi ana ujauzito wangu wa miezi 5. Ila ana mtoto wa miaka mitano aliyezaa na mwanaume mwingine. Huyo mwanaume walishaachana kitambo tangu mtoto akiwa ana mwaka na jamaa huwa anatuma fedha za matumuzi tu.
Sasa Mimi nikawa nimevitiwa na huyo dada kutokana na uchapakazi wake, na hata dukani ana kauli NZURI Kwa wateja na ana mkono wa Biashara kweli kweli. Nikaona huyu ndiye mwanamke wa kuanza naye maisha japo nawaogopa ma single mother ila nikaamua Nile ngumu.
Cha ajabu majuzi nimekuta msg za mwanaume mwingine kwenye simu, Tena sio baba mtoto wake ila mwanaume mwingine kabisa na walikuwa wnapanga miadi ya kuonana waka vunje amri ya sita. Sasa kilichonishitua zaidi ni binti huyu kuwa na uthibutu wa kuchepuka akiwa mjamzito Tena Tumbo tayari limeanza kuonekana. Hivi akishajifingua itakuwaje?
Sasa hapa niko dilema sijui nifanyaje coz ujauzito ni kweli WA kwangu Nina uhakika asilimia 98, na binti ni mchapa kazi Yana ana sifa zote za kuwa mke. Ila kilichonishitua ni hiyo tabia yake. Najiuliza kama itakuwa sahihi kumuacha akiwa mjamzito?
Na pia nilipomuuliza kuhusu huyo MCHEPUKO alijotetea akasema ilikuwa ni chatting tu, coz ni mwanaume wake wa zamani sana ila hawajafanya chochote, na ameshamwambia kuwa yeye ni mchumba WA mtu hivyo hakuna kinacho endelea kati yao.
Mnanishaurije hapo wadau?
me nipo nshupunyNipo mitipwili we ukwapi
Napenda comment zako sana zinanifurahishaPiga chini.....
Next baby dady inabidi aoneshwe makaburi mawili.
Nguvu zikipotea mke atazirejesha?Ni lazima kuowa Ila sio lazima kuto kuowa sema Sasa hivi una nguvu bado so una weza kuona Ina wezekana kuishi bila mke
Baba yako asinge owa unge kuwepo?Nguvu zikipotea mke atazirejes
Si kila mtoto kapatikana ndani ya ndoaBaba yako asinge owa unge kuwepo?
Oyaa hii ndo point namba 1Unavyoishi na mwanamke usitumie hisia