Ninayempenda Nisiyemjua Kanitolea Nje

Status
Not open for further replies.
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:!
sasa mama!imekuwaje umeamua kunianzishia sredi?!
mi nilikwambia kwamba katika umri wangu huu wa miaka 38,sio rahisi kwamba nikakosa kuwa na mtu!....

YANINI MALUMBANO MAMA!......
Ahsante kwa kumfikishia ujumbe wangu indirectly!!
 
Mwenzio yamenikuta.kuachwa kubaya bht ,wewe mkomalie bala wako hana makuu.

kuachwa ni shughuli pevu
mabaya zaidi yul eunayempenda
wewe unakonda yeye ananenepa
haya mama kisicho riziki hakiliki..................karibu!!!
 
Pole GS. This is just small stuff with time you will forget. Hamna haja ya kumtaja maana nae atasoma - message delivered... Two songs that will help u get over that . Listen to "Survivor - Destiny's Child" na "Leona Lewis - Better In Time". Your heartache will be yesterday's news...
 
Be strong my dia, it happens! Unaweza kuta after few months unaongea different story,coz anaweza akatokea wako wa ukweli hadi ukajiuliza huyu wa sasa ulikuwa unampendea nini, give yourself time to heal as others have said and all will be well.
 
Hata ningekuwa mimi nisingekukubali leo mwanaume kesho mwanamke lengo lako nini hasa?
 
kuachwa ni shughuli pevu
mabaya zaidi yul eunayempenda
wewe unakonda yeye ananenepa
haya mama kisicho riziki hakiliki..................karibu!!!
Asante...nishakaribia hivyo tena.Nimeshindwa kumbadilisha.
Kumbe kweli......."JASIRI" HAAACHI ASILI
 
eeeh GS time heals almost everything, give time time.............
 
Asante...nishakaribia hivyo tena.Nimeshindwa kumbadilisha.
Kumbe kweli......."JASIRI" HAAACHI ASILI

hahaaaaaaaaaaaaaaa karibu tukusaidie kuuguza vidonda, makovu utatafuta mwenyewe kirimu za kichina uyatoe....
 
Hata ningekuwa mimi nisingekukubali leo mwanaume kesho mwanamke lengo lako nini hasa?
Nguli, GS ana jinsia mbili au zina alternate leo hii kesho nyingine siku inayofuata zote mbili?
 
Nilianza kozi ya uchambuzi wa siasa lakini nikaona GS hanitolei macho nikaacha!
 
Nampenda sasa kwa hiyo najikuta napata ugumu kusonga mbele

Sasa hicho ndio kinacotu-cost wengi wetu, we are not ready to accept the truth, matokeo yake tunakuwa tayari kudanganywa! dawa ya malaria ya klorokwini used (still is) to be very bitter in taste, lakini ili upone tuliibugia kama ilivyo. So mimi nashauri, songa mbele, tena shukuru Mungu kuwa ulimpenda kwa mbali tu, coz ingekuwa kwa ukaribu na ukakuta ndio wale wenye mkwara mpaka wa kukufungulia mlango wa gari si ndio ungetaja kujimaliza kabisa? Just accept it kuna he/she is occupied, labda sio uliyeandikiwa, na haya mambo ukiyang'ang'aniza ndio kabisa, you'll be treated like s**t!
 
mamaa la CHARITY upo?

ulifanikiwa KUMBADILISHA?:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
ningeshangaa sana kama usingejipandika hili!!!!
shikamooo big
Marahaba mamushka. umeshachukua fomu?
Mhhhh! pengine kweli?????!!!!!!!!!!!!!!!!!
Pendo linavuliwa kiaina yake........
Wewe huwezi vuliwa pendo. Nikuapie?

Mwenzio yamenikuta.kuachwa kubaya bht ,wewe mkomalie bala wako hana makuu.
Nani huyo hana adabu?

kuachwa ni shughuli pevu
mabaya zaidi yul eunayempenda
wewe unakonda yeye ananenepa
haya mama kisicho riziki hakiliki..................karibu!!!
Kaizer wapi apige makitu yake hapo? Najisikia kukatika Alaji! Alaji! Alaji!
 
Sasa hicho ndio kinacotu-cost wengi wetu, we are not ready to accept the truth, matokeo yake tunakuwa tayari kudanganywa! dawa ya malaria ya klorokwini used (still is) to be very bitter in taste, lakini ili upone tuliibugia kama ilivyo. So mimi nashauri, songa mbele, tena shukuru Mungu kuwa ulimpenda kwa mbali tu, coz ingekuwa kwa ukaribu na ukakuta ndio wale wenye mkwara mpaka wa kukufungulia mlango wa gari si ndio ungetaja kujimaliza kabisa? Just accept it kuna he/she is occupied, labda sio uliyeandikiwa, na haya mambo ukiyang'ang'aniza ndio kabisa, you'll be treated like s**t!

nimesoma mpaka hapo tu nikatosheka!!!
 
Marahaba mamushka. umeshachukua fomu?

wayiiii mpinzani ananunua vichwa ile mbaya.....lakini ngoja tu

Kaizer wapi apige makitu yake hapo? Najisikia kukatika Alaji! Alaji! Alaji!

B wa ukweli namuona kabisa hapa ila nashangaa hasemi chochote wala 'ogani' hapigi........
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom