Pole sana kwa yaliyokusibu, jipe moyo, wapo wengi tu wanaokupenda kwa dhati, ni sualala kujiweka sawa tu kabla ya kuizoea hali na kuanza kivingine. Hongera kwa kuwa muwazi na kuishirikisha jamii. Big up!Wapwaz na Binamuzi wote.
Mtakumbuka niliwahi kuanzisha masa hapa ikisomeka"nimempenda mtu nisiyemfahamu-sijawahi kumuona" niliomba ushauri na nilipata ushauri toka kwa baadhi yenu ya namna ya kumwambia..Nilikuwa nachat naye mara nyingi,kila akiwa hewani nilikuwa siachi kumsalimia na kuzungumza naye mawili matatu,kifupi ni mtu pekee humu JF niliyemzoea sana na kuweza kumwambia chochote kinachonihusu bila kumficha.Na katika kumzoea huku kukanifanya nizidi kumpenda.Baada ya kuzoeana naye Nilijikaza nikamwambia ukweli,jamaa akachomoa,nikaendelea kuvumilia na kuendelea kumsisitiza,hivi karibuni ameniambia ana mtu,nimeumia sana kwani nilkuwa najifariji huenda akawa hana mtu...Kifupi ni kwamba kanitolea nje..Nampenda..Niko njia panda sijui nifanyeje.....
Wenu katika majonzi
Gender Sensitive....
Wapwaz na Binamuzi wote.

Pole sana dada..uckate tamaa yawezekana anapima msimamo wako.Kuna watu hawajawahi kuexperience true love kwahiyo watabaki kukupondea na kukukatisha tamaa...cha mhimu mtangulize mungu katika hili na umwombe adhihilishe kama kweli ni wako na kama c wako atakuonyesha panapostahili.Wapwaz na Binamuzi wote. Mtakumbuka niliwahi kuanzisha masa hapa ikisomeka"nimempenda mtu nisiyemfahamu-sijawahi kumuona" niliomba ushauri na nilipata ushauri toka kwa baadhi yenu ya namna ya kumwambia..Nilikuwa nachat naye mara nyingi,kila akiwa hewani nilikuwa siachi kumsalimia na kuzungumza naye mawili matatu,kifupi ni mtu pekee humu JF niliyemzoea sana na kuweza kumwambia chochote kinachonihusu bila kumficha.Na katika kumzoea huku kukanifanya nizidi kumpenda.Baada ya kuzoeana naye Nilijikaza nikamwambia ukweli,jamaa akachomoa,nikaendelea kuvumilia na kuendelea kumsisitiza,hivi karibuni ameniambia ana mtu,nimeumia sana kwani nilkuwa najifariji huenda akawa hana mtu...Kifupi ni kwamba kanitolea nje..Nampenda..Niko njia panda sijui nifanyeje..... Wenu katika majonzi Gender Sensitive....
Good advice meyn....Haujapoteza kitu yawezekana ulikuwa unachat na mwanamke mwenzio!Hivyo simba ukawa na mategemeo yakupata mwingine kama atajitokesa akaonyesha kweli anahitaji urafiki na wewe japo najua hapo katika inbox yako imejaa pole kwa hayo hata mimi yalishanitoke na yanaendelea kutokea!!