ninayempenda. anaringa xana.

ninayempenda. anaringa xana.

Status
Not open for further replies.

paslau

New Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
4
Reaction score
1
nimetokea kumpenda msichana mmoja nasoma nae mwaka mmoja but kila nikimueleza bout hili anapenda tuwe marafiki tu jaman naomba ushauri kuhusu hili for real nampenda sana.
 
These shits are amazing,just toss her in the trash..
nimetokea kumpenda msichana mmoja nasoma nae mwaka mmoja but kila nikimueleza bout hili anapenda tuwe marafiki tu jaman naomba ushauri kuhusu hili for real nampenda sana.
 
nimetokea kumpenda msichana mmoja nasoma nae mwaka mmoja but kila nikimueleza bout hili anapenda tuwe marafiki tu jaman naomba ushauri kuhusu hili for real nampenda sana.
mkuu kwanini umeweka X badala ya S???
 
Mapenzi ni safari ndefu na wengi wa wapendanao kwa dhati leo hii walianza kama marafiki...

Hivyo suala la yeye kutaka uwe rafiki tu haina maana kwamba hatakupenda mbeleni, pengine anataka kukujua zaidi kuliko hivyo akujuavyo sasa...

Pia jifunze kuheshimu maamuzi ya wengine, mwaka wa kwanza tu ushaanza kuwaza mapenzi wakati mwenzako katumwa na ukoo kwani kwao kahusiwa elimu ni ufunguo wa maisha...

"Ninayempenda anaringa sana", haya ni matamshi atoayo mwanaume anayedhani ana deserve kuwa na kila mwanamke atayemtongoza, kijana hata wanawake pia wana hisia, wana "check out" kama wanaume tufanyavyo.
Pengine hujamvutia, yaani huufanyi moyo wake kushtuka kabisaaaa....yaani wewe kwake ni kipori.

nimetokea kumpenda msichana mmoja nasoma nae mwaka mmoja but kila nikimueleza bout hili anapenda tuwe marafiki tu jaman naomba ushauri kuhusu hili for real nampenda sana.
 
Kakutosa kwa vule hujitambui, tafuta GPA acha hizo mbunye utazikuta tu tumia kichwa cha juu acha cha chini kipumzike watoto wa siku izi sjui mkoje
 
Mtu mwenyewe hajui kutofautisha x na s. akwende zake na division 5 yake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom