Pole sana. kuna njia nyingi za kumfanya mwanamke akupende. kwanza unatakiwa kufahamu tabia yake vizuri, yaan vitu gani anapendelea na vitu gani hapendelei. mfano kama anapenda mwanaume mcheshi bac kuwa mcheshi, km anapenda mwanaume asiekua na urafiki na wanawake wengi bac acha kupiga story na mademu wengine na uwe serious kidogo, km ni mtu anependa sn masomo basi hakikisha class unakua wakwanza au gpa kubwa, km ni mtu anaependa dini na ni wa kanisa basi anza kuzama sala, km anapeda mtu smart basi badili muonekano wa kimavazi zaidi, vaa vizuri, hlf jitambue, ushauri wangu mkubwa we kubali kuwa rafiki yake hlf kuwa rafiki wa dhati, yaan usimuoneshe wivu, unapopiga nae story mdokoze mfano mwambie kuna jamaa mmoja anakupenda hua anakuoongelea ongelea yaan asione unamtaka sana, yaan muoneshe unaweza kuwa na mtu mwngne, hapo hapo mweke karibbu, kwenye shida zake kuwepo karibu, inshort mpe romance japo mwezi mmoja hlf jikatae utaona anakufata mwenyewe, romance namaanisha good tyms, unaweza kutoka nae out hlf huko out usiwe boaring, yaan have fun, iteke ile furaha yake ili anapokukosa siku moja uwepo akilini mwake, ukifanikiwa hapo basi umefanikiwa kumpata, hii tunaita mbinu ya kufosi kingi. Kila la heri