Eng Kahigwa
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 783
- 632
Katoe mahari kijana, mwenzako hataki kurudia makosa.Wadau wa JF, nimetokea kumpenda msichana mmoja ambaye nasoma naye chuo. Nilishamwelezea hisia zangu juu yake akanielewa na kukubali tuanzishe mapenzi, ilikuwa 2017. Mpaka leo bado nawasiliana naye lakini sipati kitu, nikimuita kwangu anakuja lakini hataki hata nimguse, nikimuomba anasema nikatoe mahari kwanza. Sio kwamba hajawahi kufanya mapenzi (alinambia alishawahi kupendana na mtu wakaachana baada ya yeye kuja chuo 2016). Nimeanza kupoteza hisia kwake. Nifanyeje?
ndo hovyo kuna msela anamsugua amabaye hana mbele wala nyuma ila kwa vile wewe umetangaza ndoa ndio anataka akuuzie mbuzi kwenye guniaMademu bana apo ukute anakubania ww alafu kuna muhuni akimuita akifika anapanua mwenyew
MAMBO YA KUUZIANA MBUZI KWENYE GUNIASi umeshaambiwa utoe mahari kwanza unaomba ushauri wa nini tena au hujui hizo ndizo taratibu unazotakiwa kufuata ili upewe kipochi manyoya? Mmezoea vya kunyonga mnavishinda vya kuchinja pole sana
Katoe mahari namuunga mkono huyo binti ndiyo dawa yenu nyinyi wavurugaji
Mbona zamani iliwezekana kwa nini sasaMAMBO YA KUUZIANA MBUZI KWENYE GUNIA
USHASEMA ZAMANI, NDOMANA HATA WAKE TULITAFUTIWA SIO ZAMA HIZIMbona zamani iliwezekana kwa nini sasa
Basi tuzienzi tamaduni zetuUSHASEMA ZAMANI, NDOMANA HATA WAKE TULITAFUTIWA SIO ZAMA HIZI
Muulize kinagaubaga kama ni bikra, kama ndio vumilia hadi ndoa ila kama ishatolewa achana nae maana anaweza kukuona zoba kwako anakunyima na full kuhudumia ila kuna chalii anajilia tena bure na mara kwa mara baada ya ndoa unapewa mzigo utam wote umeisha yamebaki makombo tu na mahandakiWadau wa JF, nimetokea kumpenda msichana mmoja ambaye nasoma naye chuo. Nilishamwelezea hisia zangu juu yake akanielewa na kukubali tuanzishe mapenzi, ilikuwa 2017. Mpaka leo bado nawasiliana naye lakini sipati kitu, nikimuita kwangu anakuja lakini hataki hata nimguse, nikimuomba anasema nikatoe mahari kwanza. Sio kwamba hajawahi kufanya mapenzi (alinambia alishawahi kupendana na mtu wakaachana baada ya yeye kuja chuo 2016). Nimeanza kupoteza hisia kwake. Nifanyeje?
Kama unampenda endelea kuvumilia jamaa....ha haa ila kuwa makini huenda wewe kakufanya Husband Material for future uses wakati ana part time wake muda huuWadau wa JF, nimetokea kumpenda msichana mmoja ambaye nasoma naye chuo. Nilishamwelezea hisia zangu juu yake akanielewa na kukubali tuanzishe mapenzi, ilikuwa 2017. Mpaka leo bado nawasiliana naye lakini sipati kitu, nikimuita kwangu anakuja lakini hataki hata nimguse, nikimuomba anasema nikatoe mahari kwanza. Sio kwamba hajawahi kufanya mapenzi (alinambia alishawahi kupendana na mtu wakaachana baada ya yeye kuja chuo 2016). Nimeanza kupoteza hisia kwake. Nifanyeje?
Kuwa na mpenzi kabla siyo sababu ya yeye kuwa amelala nae!Wadau wa JF, nimetokea kumpenda msichana mmoja ambaye nasoma naye chuo. Nilishamwelezea hisia zangu juu yake akanielewa na kukubali tuanzishe mapenzi, ilikuwa 2017. Mpaka leo bado nawasiliana naye lakini sipati kitu, nikimuita kwangu anakuja lakini hataki hata nimguse, nikimuomba anasema nikatoe mahari kwanza. Sio kwamba hajawahi kufanya mapenzi (alinambia alishawahi kupendana na mtu wakaachana baada ya yeye kuja chuo 2016). Nimeanza kupoteza hisia kwake. Nifanyeje?