Ninaye ila sipati kitu!

Joined
May 5, 2019
Posts
16
Reaction score
15
Wadau wa JF, nimetokea kumpenda msichana mmoja ambaye nasoma naye chuo. Nilishamwelezea hisia zangu juu yake akanielewa na kukubali tuanzishe mapenzi, ilikuwa 2017. Mpaka leo bado nawasiliana naye lakini sipati kitu, nikimuita kwangu anakuja lakini hataki hata nimguse, nikimuomba anasema nikatoe mahari kwanza. Sio kwamba hajawahi kufanya mapenzi (alinambia alishawahi kupendana na mtu wakaachana baada ya yeye kuja chuo 2016). Nimeanza kupoteza hisia kwake. Nifanyeje?
 
Mtihani huo. Maliza kwanza chuo mwanangu
 
mkono mtupu haulambwi......mpe ankara uone.....ila nakushauri soma dogo.....watoto wazuri wapo kibao........
 
Wee unamtaka mbanjuane tuu au unamtaka umwoe.
Mwenzio yeye yuko tayari kuolewa ndo maana anajua akikupa humwoi
 
Mahari huna?... ndo uende sasa kutoa iyo mahari...! Au unataka tendo tu halafu uchape lapa ?... kama ni hivyo pia mueleze ili naye aamue kuingia kwenye mahusiano ya kuzuga au la. ...!
 
Kamshitaki polisi anakunyima hqki yako..!
 
Mwanume aoi kisa kanyimwa ngono au kupewa achana nae
 
Asha kujua wewe walu walu, player boy
 
Ingekuwa mke wako anakunyima ningekupa mbinu ambayo ni mwarobaini wa wanawake, asingekunyima mpaka uzeeni.
Kwa huyo amua wewe mwenyewe.
 
Endelea kupoteza hisia...kubembelezana sana ni upuuzi na kupoteza muda.
 
Mademu bana apo ukute anakubania ww alafu kuna muhuni akimuita akifika anapanua mwenyew
 
Kweli wanaume tunapungua kwa kasi; hili nalo unaomba ushauri?
Umekwama wapi?

Yaani huwa anafika hadi geto kwako ila unashindwa kubuni mbinu za kumla?
 
Si umeshaambiwa utoe mahari kwanza unaomba ushauri wa nini tena au hujui hizo ndizo taratibu unazotakiwa kufuata ili upewe kipochi manyoya? Mmezoea vya kunyonga mnavishinda vya kuchinja pole sana

Katoe mahari namuunga mkono huyo binti ndiyo dawa yenu nyinyi wavurugaji
 
Wewe ni mpenzi msikilizaji akija geto unakuwa mpenzi mtazamaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…