Ninawindwa, mniombee...

Na nyongeza zaidi, mthibitishie kuwa, ye kuwa mzuri haimaanishi anaweza mbambaisha mwanamme yeyote mbele yake.
Na ndicho nilichofanya, nashangaa mifisi yenye uchu inanitusi, wanatamani wangekuwa mimi
duuuh aisee watu wana dhiki za k kinoma
 
Kweli wanaume hakuna siku hizi, unatishikaje hivyo
 
Usiseme hivyo, mpaka kwa mabosi ameshaanza kuharibu, ukizingatia ni mkubwa wangu kwa cheo. Pia ni mtoto wa mtu mzito sana nchi hii, hii nimekuja kutonywa hivi karibuni na rafiki yake na akataka iwe siri, kifupi wote ni mboga 7
Mwamba mpelekee moto usije ukapotea na watu wasiojulikana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wewe umemkataa baada ya kula mbususu yake? Au yeye ndo amekutongoza na ukamkataa juu kwa juu means hujammega? Explain briefly boss.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…