Ninawindwa, mniombee...

Kwahio nani anastahili DHARAU?,
Je ?, kama na wewe ulimkataa kwa DHARAU ndio maana anakuwinda alipe kiasi kama wewe ulivyomlipia kiasi Rafiki yako.

Wacha Mapambano yaendelee.
Mimi sikumkataa kwa dharau, nilimkataa kistaarabu mno. Nikamuambia wewe ni mzuri ila sijakupenda. Short and clear[emoji123]
 
Ukute anakutishia tu na hana lolote baya atakufanyia.
Usiseme hivyo, mpaka kwa mabosi ameshaanza kuharibu, ukizingatia ni mkubwa wangu kwa cheo. Pia ni mtoto wa mtu mzito sana nchi hii, hii nimekuja kutonywa hivi karibuni na rafiki yake na akataka iwe siri, kifupi wote ni mboga 7
 
Usiseme hivyo, mpaka kwa mabosi ameshaanza kuharibu, ukizingatia ni mkubwa wangu kwa cheo. Pia ni mtoto wa mtu mzito sana nchi hii.
Kumbe [emoji2296] basi ni mshamba mapenzi hayalazimishwi wanaume wapo kibao ni kwamba hawaoni...aisee pole sana
 
Hajawahi kuwa rejected, so haamini na kujiona mzuri, mkazie hapo hapo.
 
Mimi sikumkataa kwa dharau, nilimkataa kistaarabu mno. Nikamuambia wewe ni mzuri ila sijakupenda. Short and clear[emoji123]
We huoni kama hiyo sio DHARAU, Kama mzuri kwanini hujampenda?.

Ni kheri ungemwambia tu sijakupenda kuliko kumsifia halafu unamtosa.
 
Na nyongeza zaidi, mthibitishie kuwa, ye kuwa mzuri haimaanishi anaweza mbambaisha mwanamme yeyote mbele yake.
 
We huoni kama hiyo sio DHARAU, Kama mzuri kwanini hujampenda?.

Ni kheri ungemwambia tu sijakupenda kuliko kumsifia halafu unamtosa.
Sio dharau kabisa ukilinganisha na alivyosema yeye kwa jamaa yangu na wengine. So kwa hapo ni kama hoja yako haina nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…