Ninawindwa, mniombee...

Hutokea tu mkuu, inategemea na unavyojiweka. We unaonekana mtu wa utani mno na kujichekesha hovyo
 
Eeeh hujakutana na madem ving'ang'anizi ndugu yangu.....tena usiombe uwe na mwanamke unayempenda na akamjua...atamfanyia vitukoooo ilimradi tu amkeereee kisa kapendwa na wewe na wee humtaki
Waache tu usiwajibu
 
Nimeshangaa sana mkuu, mimi mwenye dharau ni sumu kubwa kwangu, hata kama hajanifanyia mimi. Kifupi sina dhiki za hovyo hovyo za k, nachagua kwa vigezo vyangu maalumu
 
Kwahio nani anastahili DHARAU?,
Je ?, kama na wewe ulimkataa kwa DHARAU ndio maana anakuwinda alipe kiasi kama wewe ulivyomlipia kiasi Rafiki yako.

Wacha Mapambano yaendelee.
 
Kamsemee kwa yule muhindi aje amchezeshee kichapo asirudie tabia ya kukuwinda.
Ikishindikana katafute upinde na mshale u level ground ya mapambano
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…