Ninawindwa, mniombee...

Vijana wa hum usiwaaminj wengine watot kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Eeeh hujakutana na madem ving'ang'anizi ndugu yangu.....tena usiombe uwe na mwanamke unayempenda na akamjua...atamfanyia vitukoooo ilimradi tu amkeereee kisa kapendwa na wewe na wee humtaki
 
Japo kuna watu wamekutusi na wataendelea fanya hivyo, mie kwa upande wangu nakupa heko
, mdada akishaonesha dharau kwa mtu yeyote mbaya zaidi huyo mtu nijuee ni mstaarabu basi akarage bao, Kutongozwa sio issue kama hakumuelewa jamaa angekataa kiustarabu kama mtu mzima.

Achana na hizi pimbi zinazokuita we mvulana
 
Huyo.... ungempeleka loji ya mbali..... chezea sana.... unajua kumchezea.... chezea sana kisha unamtuma kuoga.... huku nyuma unasepa na viwalo vyake vyote,,,, unamwachia simu tu....
Huo si ufala mkuu
yote ya nini sasa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…