Ninawindwa, mniombee...

Ninawindwa, mniombee...

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,750
Reaction score
7,850
Huyu ni binti ambaye alikuja kwangu kwa gia kama ya dada. Ni mfanyakazi mwenzangu. Kiukweli ni binti mzuri tu Manka wa huko kaskazini. Sasa mimi nilimchana kuwa sijamuelewa so sitaki kumchezea.

Ikawa nimetangaza uadui yani ananichukia na sijui sababu, na nina mashaka anaweza nitumia hata majambazi. Chuki yake kwangu ni kubwa sana, ameahidi kuniharibia, salamu hajibu na kanichunia. Anayeneza sumu mpaka kwa mabosi, uzuri ni waelewa.

Nilimkataa kwa sababu huyu binti ana dharau na mjuaji sana, aliwahi kumkataa kwa madaha jamaa yangu aliyejitosa kumtongoza, tena kwa heshima mno.

Nilichoumia sana ni kuwa jamaa yangu ni mtu mstaarabu sana, ni nice guy mzuri mno sasa kwa nini ajibiwe kwa dharau wakati hakustahili?

Na sio huyo tu, ni tabia zake kwa karibu kila mwanaume anayejitosa kumtongoza. Anajiamini sana for nothing.

Napambana naye vipi huyu?
 
Acha ujinga Mkuu, yani Binti aache kupambana na hali ya maisha yake ila akuhangaikie wewe tu? Kwani maisha hayaendi bila ya mapenzi?

Je mimi ambaye niliwahi kukaa zaidi ya mwaka mzima bila ya mapenzi nilikufa?

Nina wasiwasi we ni Mvulana badala ya Mwanaume tokana na hii mada yako.
 
Ulifanya kosa sana. Mtu wa ki hivyo unamla mara moja tuu alafu unampiga marufuku kukuzoea zoea yeye mwenyewe atakuwa kondoo
 
Acha ujinga Mkuu, yani Binti aache kupambana na hali ya maisha yake ila akuhangaikie wewe tu?

Kwani maisha hayaendi bila ya mapenzi?

Je mimi ambaye niliwahi kukaa zaidi ya mwaka mzima bila ya mapenzi nilikufa?

Nina wasiwasi we ni Mvulana badala ya Mwanaume tokana na hii mada yako.
Unaongea kwasababu huelewi vitimbwi anavyonifanyia, ni hatari.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
.

Nilimkataa kwa sababu huyu binti ana dharau na mjuaji sana, aliwahi kumkataa kwa madaha jamaa yangu aliyejitosa kumtongoza, tena kwa heshima mno.

Nilichoumia sana ni kuwa jamaa yangu ni mtu mstaarabu sana, ni nice guy mzuri mno sasa kwa nini ajibiwe kwa dharau wakati hakustahili?

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Kamata hyo nafasi ya MANKA WA KICHAGA...
 
Huyo.... ungempeleka loji ya mbali..... chezea sana.... unajua kumchezea.... chezea sana kisha unamtuma kuoga.... huku nyuma unasepa na viwalo vyake vyote,,,, unamwachia simu tu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom