Kiongozi Miongoni
Senior Member
- Feb 6, 2021
- 195
- 258
Keisha habari yako
Mkuu huyo inatakiwa umpatie mtaji au Kama unajiweza mfungulie biashara ili awe anaisimamia ili aachane na kufanya kazi za ajabu ajabu usizozipendaJambo ndugu zangu, naombeni ushauri wenu.
Nina mwanamke wangu ambaye tunapendana naye na tuna mpango wa kuoana hapo badaye. Ila ninashindwa kuelewa tabia za mwanamke huyu, kiufupi mwanamke huyu anatabia za jikedume, ni mtu muda wote ukimuona yupo kama mwanaume, matendo yapo kama ya mwanaume.
Ni mtu muda wote anafikiria kutafuta pesa tu, na kwa bahati mbaya mpaka kazi ambazo sijazoea kuona wanawake wenzake wakifanya yeye anafanya! Juzi juzi nilimkuta yupo juu ya mti anakataa kipande cha mti, eti atalipwa.
Na akipata pesa huwezi kumkuta kununua nguo nzuri kama wanawake wenzake, yeye ni nguo tu za mitumba na magauni tu tena ile ya chini. Eti hataki watoto atakao wazaa kuja kuishi maisha mabaya. Kwa kauli zake hizo zinanifanya mimi nijione kama mwanamke kwake na yeye kama mwanaume kwangu.
Nimejaribu kumshauria lakini bado yupo vilevile tu. Imefikia wakati nikiwa nafanya naye mapenzi anachoniuuliza ni mambo ya kazi tu. Hana muda wa kuwa 'sexy' kama wanawake wenzake. Sijui nifanyeje ili nipate kumsaidia mpenzi wangu kutoka kwenye tabia hii.
Unaweza kuwa romantic na mchapakazi.Tukiwa maslay hamtaki mnatuita ombaomba, tukiwa wapambanaji Tena hamtaki?sijui hata tufanyaje...
Anyway tabia ya mtu Ni Kama mkia wa nyani we hata uufunge na kibao kwa mwaka mzima ili unyooke,ukitoa tu ubao mkia unarudi vilevile.
Tafuta pesa aiangaike kupanda juu mtu ili alipwe pesa..Jambo ndugu zangu, naombeni ushauri wenu.
Nina mwanamke wangu ambaye tunapendana naye na tuna mpango wa kuoana hapo badaye. Ila ninashindwa kuelewa tabia za mwanamke huyu, kiufupi mwanamke huyu anatabia za jikedume, ni mtu muda wote ukimuona yupo kama mwanaume, matendo yapo kama ya mwanaume.
Ni mtu muda wote anafikiria kutafuta pesa tu, na kwa bahati mbaya mpaka kazi ambazo sijazoea kuona wanawake wenzake wakifanya yeye anafanya! Juzi juzi nilimkuta yupo juu ya mti anakataa kipande cha mti, eti atalipwa.
Na akipata pesa huwezi kumkuta kununua nguo nzuri kama wanawake wenzake, yeye ni nguo tu za mitumba na magauni tu tena ile ya chini. Eti hataki watoto atakao wazaa kuja kuishi maisha mabaya. Kwa kauli zake hizo zinanifanya mimi nijione kama mwanamke kwake na yeye kama mwanaume kwangu.
Nimejaribu kumshauria lakini bado yupo vilevile tu. Imefikia wakati nikiwa nafanya naye mapenzi anachoniuuliza ni mambo ya kazi tu. Hana muda wa kuwa 'sexy' kama wanawake wenzake. Sijui nifanyeje ili nipate kumsaidia mpenzi wangu kutoka kwenye tabia hii.
Umedandia boti ya vibwengo,Tboy uyo 🤣🤣🤣Jambo ndugu zangu, naombeni ushauri wenu.

Kabila gani huyo?Anafaa kuwa mke huyo japo ana hula za Kitomboy...ni kumjulia tu utaenjoy ...sio hizi pili pili kichaa zetuJambo ndugu zangu, naombeni ushauri wenu.