Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,369
- 12,373
Kama we mwanaume kamili OA WOTEHabari za leo ndugu zangu,
Katika maisha tunapitia mengi sana lakini yapo mengine ni magumu mno kuyafanyia maamuzi.
Katika pitapita zangu na kuzunguka mikoa mbalimbali bahati mbaya nilijikuta nawazimikia wanawake wanne katika vipindi tofauti.
Mbaya zaidi wote wananipenda pia na wote wanasifa zile nazozihitaji.
Sasa muda wangu wa kuoa umefika. Nahitaji kuoa. Lakini cha ajabu kufanya maamuzi imekua ni ngumu sana. Na nzuri zaidi wote hawajuani
Jamani nipeni mbinu nifanyaje ili nichukue maamuzi chanya.Namimi huwa siachi mwanamke kabisa, nina huruma ile mbaya.
Hahaha asipooa wote atakuwa sio kamili?Kama we mwanaume kamili OA WOTE
[emoji16][emoji16]Usiwe mjinga muoe yule mwenye tako kubwa zaid kuliko wenzie
Wewe ni Meneja wa Makampuni mangapi? Tuanzie hapo kwanza. Inaonekana umeneja wako wa Makampuni kadhaa umeamua kuuhamishia kwa dada zetu.Habari za leo ndugu zangu,
Katika maisha tunapitia mengi sana lakini yapo mengine ni magumu mno kuyafanyia maamuzi.
Katika pitapita zangu na kuzunguka mikoa mbalimbali bahati mbaya nilijikuta nawazimikia wanawake wanne katika vipindi tofauti.
Mbaya zaidi wote wananipenda pia na wote wanasifa zile nazozihitaji.
Sasa muda wangu wa kuoa umefika. Nahitaji kuoa. Lakini cha ajabu kufanya maamuzi imekua ni ngumu sana. Na nzuri zaidi wote hawajuani
Jamani nipeni mbinu nifanyaje ili nichukue maamuzi chanya.Namimi huwa siachi mwanamke kabisa, nina huruma ile mbaya.
Sio kamili kabisaHahaha asipooa wote atakuwa sio kamili?
Kwanini mkuuUsiwe mjinga muoe yule mwenye tako kubwa zaid kuliko wenzie
naomba nidadavulie hapa.Usiwe mjinga muoe yule mwenye tako kubwa zaid kuliko wenzie
Unamaana gani mkuuKuna watu hawajui kupendwa wala kupenda kwa sababu hawajawahi kujipenda.