Ninawapenzi wanne wote wanahitaji niwaoe

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
9,029
Reaction score
11,928
Habari za leo ndugu zangu,

Katika maisha tunapitia mengi sana lakini yapo mengine ni magumu mno kuyafanyia maamuzi.

Katika pitapita zangu na kuzunguka mikoa mbalimbali bahati mbaya nilijikuta nawazimikia wanawake wanne katika vipindi tofauti.

Mbaya zaidi wote wananipenda pia na wote wanasifa zile nazozihitaji.

Sasa muda wangu wa kuoa umefika. Nahitaji kuoa. Lakini cha ajabu kufanya maamuzi imekua ni ngumu sana. Na nzuri zaidi wote hawajuani

Na katika hao wanne
Mmoja mweupe mrefu, ametumika, umri miaka 24. Tako la kawaida
Mwingine mweupe, mrefu wasitani, maji ya kunde, Tako la kawaida umri 21, bikra
Mwingine mweupe, mfupi wasitani umri 21, Tako lipo, bikra.
Mwingine mweusi, mrefu, ana shape hilo, Ana chura, kitandani ni mzoefu kwelikweli, anacheza namba zote, umri 18.

Jamani nipeni mbinu nifanyaje ili nichukue maamuzi chanya.Namimi huwa siachi mwanamke kabisa, nina huruma ile mbaya.
 
Wote wanakupenda wewe ila WEWE huwapendi wote katika usawa sawia sio kazi ngumu kuchagua mmoja...Acha tamaa achia wengine watafute riziki zao pahali pengine.
 
Habari za leo ndugu zangu,

Katika maisha tunapitia mengi sana lakini yapo mengine ni magumu mno kuyafanyia maamuzi.

Katika pitapita zangu na kuzunguka mikoa mbalimbali bahati mbaya nilijikuta nawazimikia wanawake wanne katika vipindi tofauti.

Mbaya zaidi wote wananipenda pia na wote wanasifa zile nazozihitaji.

Sasa muda wangu wa kuoa umefika. Nahitaji kuoa. Lakini cha ajabu kufanya maamuzi imekua ni ngumu sana. Na nzuri zaidi wote hawajuani

Jamani nipeni mbinu nifanyaje ili nichukue maamuzi chanya.Namimi huwa siachi mwanamke kabisa, nina huruma ile mbaya.
Kama we mwanaume kamili OA WOTE
 
Wewe ni Meneja wa Makampuni mangapi? Tuanzie hapo kwanza. Inaonekana umeneja wako wa Makampuni kadhaa umeamua kuuhamishia kwa dada zetu.

Kwenye ndoa, kama wewe ni Mkristo, basi unatakiwa uwe meneja wa kampuni (mke) moja tu.
 
Haya ndio madhira ya kuingia katia uchumi wakati.

Lakin maswali gan tunauliza wakati hata sifa za kila mmoja hujaweka??
 
Back
Top Bottom