Mimi ni kijana niko na 31 years naishi maisha ya kawaida sana. Najishughulisha na ujasiriamali, namshukuru Mungu kipato si haba lakini tatizo jamii inayonizunguka hawanikubali kabisa.
Na mwanzo nikiwa boni pua maisha yalikuwa safi kabisa sasa niwafanyie nini hawa viumbe ili wanikubali maana kama ni kuwasaidia nawasaidia, au ndo ile ya watu na viatu?