Ninawac wac na mchumbaangu hajatulia

Ninawac wac na mchumbaangu hajatulia

Joined
Apr 7, 2012
Posts
32
Reaction score
5
Naomba ushauri wenu wana jf. Niko na mchumba sina muda nae sana ninamiezi nae mi3, huyu mchumba aliniforce sana kuleta barua kwe2 nikamkubalia, sasa ninasikia v2ko vyake vngi nimeckia alikuwa na mwanamke kampa mimba hlo me hajanambia kuja kumuuliza kakubali ila kasema walishaachana kuhusu mimba hajui, nilimkataza kucheza kamali lakini anacheza kwa kujificha kadiriki ku2mia hadi pesa za kazini kwao laki7 kuchezea kamali na kaliwa zote hana sh. Mfukoni. Je huyu mwanaume anafaa kweli na leo nimepata taarifa zake kutoka kwa wasichana aliokuwa karibu nao wanasema ni kiwembe. Nishaurini mwenzenu nataka nimwambie aje achukue barua yake
 
Dalili ya mvua...................!Kuna siku utawekwa rehani kwenye kamali,shauri yako.
 
Miezi mitatu na barua ya posa teyari? Siku hizi mambo yamekuwa marahisi aisee, ngoja nisake wa kuniposa mie.😛
 
Kitu cha kwanza, ni hatari sana kuwa na mpenzi ambae humuamini.
Lakini ni hatari zaidi kufanya maamuzi kwa kutumia hisia.
Take your time kidogo, fanya uchunguzi wako, wewe ni mwanamke; wanasema wanawake wana detective abilities za hali ya juu, use them utapata tu ukweli.
All the best.
 
Miezi mitatu na barua ya posa teyari? Siku hizi mambo yamekuwa marahisi aisee, ngoja nisake wa kuniposa mie.😛

Wewe naye unakompliketi mambo ......miezi mitatu nini bana, wiki moja tu posa na mahari inatumwa kwa M-PESA!
 
hyo tu ni tabia yake, na2main akwekwa chn akpewa daawa au darasa anaweza kuchange, cha maana awekwe chn na wazee apewe somo
 
achukue barua yake?
kwani posa ikikataliwa unaitwa kuichukua barua yako?
si unaambiwa tu imekataliwa?
 
Mpotezee tu,ana mpango..hayuko serious
 
Miezi mitatu na barua ya posa teyari? Siku hizi mambo yamekuwa marahisi aisee, ngoja nisake wa kuniposa mie.😛

Usipate shida my dear...ntakupa kaka yangu uje kula tende na kahwa lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Yaani kama movie vile! Kweli mapenzi ya siku hizi ni maigizo.. Scene ya kwanza...ya pili..tatu.. Vinatokea vimaandishi BAADA YA MIEZI 3. Vituko vikaanza..
 
Naomba ushauri wenu wana jf. Niko na mchumba sina muda nae sana ninamiezi nae mi3, huyu mchumba aliniforce sana kuleta barua kwe2 nikamkubalia, sasa ninasikia v2ko vyake vngi nimeckia alikuwa na mwanamke kampa mimba hlo me hajanambia kuja kumuuliza kakubali ila kasema walishaachana kuhusu mimba hajui, nilimkataza kucheza kamali lakini anacheza kwa kujificha kadiriki ku2mia hadi pesa za kazini kwao laki7 kuchezea kamali na kaliwa zote hana sh. Mfukoni. Je huyu mwanaume anafaa kweli na leo nimepata taarifa zake kutoka kwa wasichana aliokuwa karibu nao wanasema ni kiwembe. Nishaurini mwenzenu nataka nimwambie aje achukue barua yake
hata kwa kufikiria kidogo huyu hafai na hiyo ni dalili tosha angalia utakuja juta
 
Naomba ushauri wenu wana jf. Niko na mchumba sina muda nae sana ninamiezi nae mi3, huyu mchumba aliniforce sana kuleta barua kwe2 nikamkubalia, sasa ninasikia v2ko vyake vngi nimeckia alikuwa na mwanamke kampa mimba hlo me hajanambia kuja kumuuliza kakubali ila kasema walishaachana kuhusu mimba hajui, nilimkataza kucheza kamali lakini anacheza kwa kujificha kadiriki ku2mia hadi pesa za kazini kwao laki7 kuchezea kamali na kaliwa zote hana sh. Mfukoni. Je huyu mwanaume anafaa kweli na leo nimepata taarifa zake kutoka kwa wasichana aliokuwa karibu nao wanasema ni kiwembe. Nishaurini mwenzenu nataka nimwambie aje achukue barua yake
yani uwa sipendi mtu anaye base on evidence ya kuambiwa...eti nmeambiwa na wasichana aliokuwa nao...ivi wewe demu nimtose afu akwambie mm ni mzuri?
 
Miezi mitatu na barua ya posa teyari? Siku hizi mambo yamekuwa marahisi aisee, ngoja nisake wa kuniposa mie.😛

Mi nlivyokuja moshi ukanikimbia, hukujua umekimbia na posa yako? Tehe tehe
 
Muambie anunue raba mtoni kabisa, hapa atakanyagia hadi kisigino kiishe! Afu kuna maziwa ya kutengenezea juisi ya tende? Si unajua kazi yake?
Usipate shida my dear...ntakupa kaka yangu uje kula tende na kahwa lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Na nikivuta bhange ndo akili inachaji kama kichaa! Wiki moja sema nitamtapeli. Ngoja kakake farkhina akijilengesha nitakustua wewe na mateka mta-act wazazi wangu tuvute huo mshiko.
bora usake bangi

tena wewe utaposwa within one week.
 
Last edited by a moderator:
Naomba ushauri wenu wana jf. Niko na mchumba sina muda nae sana ninamiezi nae mi3, huyu mchumba aliniforce sana kuleta barua kwe2 nikamkubalia, sasa ninasikia v2ko vyake vngi nimeckia alikuwa na mwanamke kampa mimba hlo me hajanambia kuja kumuuliza kakubali ila kasema walishaachana kuhusu mimba hajui, nilimkataza kucheza kamali lakini anacheza kwa kujificha kadiriki ku2mia hadi pesa za kazini kwao laki7 kuchezea kamali na kaliwa zote hana sh. Mfukoni. Je huyu mwanaume anafaa kweli na leo nimepata taarifa zake kutoka kwa wasichana aliokuwa karibu nao wanasema ni kiwembe. Nishaurini mwenzenu nataka nimwambie aje achukue barua yake
miezi mi3?kaleta posa?hebu timua hicho kisirani!kamari ni wehu huwa haumtoki mtu!
 
Back
Top Bottom