mkuu no name calling! lazima ule banAisee una kumbukumbu sana mkubwa maana story za over 20 years unazinyaka kwa sana!! Asante, nime connect the dot vizuri!!!!!! Pole sana Pro. Maro . Mungu akujalie afya iwe njema na hongera kwa kuishi na mkeo kwa miaka yote hiyo!!! Ndoa ni kuvumiliana!!!
Sijakuelewa 'hadithi' yako inalenga kutueleza nini kuhusu dada yetu Dr Judith.
Sijakuelewa 'hadithi' yako inalenga kutueleza nini kuhusu dada yetu Dr Judith.
Nimeuliza tu anieleweshe..maana kila mtu anelewa lake hapa, na wengine mpaka wanampa pole mwalimu wangu Dr Maro. Ndo maana namtaka muanzisha uzi ebaeban atuambie anajaribu kutoa ujumbe gani!?
Dr Judith alikuwa kama changu flani hivi kabla hajaolewa, anyway RIP.
RIP Dr Massi!!
Ebaeban, Mjengwa anaumwa nini??
Dr Judith alikuwa kama changu flani hivi kabla hajaolewa, anyway RIP.
RIP Dr Massi!!
Ebaeban, Mjengwa anaumwa nini??
Sijapenda.... Inaonekana kama si elimu, basi ungekua mchawi
Mchawi vipi mkuu?Mambo yaliyonyuma ya pazia mengine huwa yanatisha na huwezi amini mpaka uone mwenyewe, katika uzi huu hamna hata nililoongeza chumvi, ni kweli yametokea mfano Padri Severino Supa,ana Ph.D tangu mwaka 1962, na alikuwa mbunge Dodoma mjini kwa takriban miaka 15, sasa mtu mwenye Ph.D tangu 1962 unamkuta kavaa nguo kiunoni halafu anakaa nyumba ya tembe na anafukuza kuku utaacha kushangaa? Kutokana na ugomvi wake mbunge huyu na Sir. George Kahama ndo uliacha tumjue haraka Melehemu Judith pale JKT Makutupora.
Kama mimi ningekuwa mchawi kama siyo elimu basi wewe ungekuwa mgawa ngekewa kwa wachimba madini kama siyo elimu.