streat Anthem
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 395
- 476
Wazo zuri, ila isiwe ya kisiasa, tutajiita tu "watu waliochoka"tuunde team
Mimi sio mwanasiasa.Wazo zuri, ila isiwe ya kisiasa, tutajiita tu "watu waliochoka"
Wazo zuri, ila isiwe ya kisiasa, tutajiita tu "watu waliochoka"
Mimi nilikuwa na nguvu zangu ila nimechoshwa chama kiwe cha waliochoka wenyewe na waliochoshwa
Ndio nani huyo?Unamsema Baba Bashite wewe
Kipi hicho?Chama haramu lazima tukiondoe la sivyo hakuna kusonga mbele
Mkuu wa nchi ya viwanda vya cherehaniNdio nani huyo?
Njaa mbaya sana mhe.mwenyekiti bado sijakatwa mkia kama kunanafasi unitumie vizuri. mashaHili jambo niliiona kupitia kwangu ila nikaja kuliona kwa watu wengine.
Wengine walivyoonesha ni kuwa wamechoka na kuchoshwa.
Naamini kuna namna umechoka au umechoshwa. Unaweza kujiexpress??
Mi naomba uweka hazina baas