Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Nenda u like kwanza comment zote ulizo niquote😂, kila mtu kuna namna unampatia picha kutokana na mwandiko humu, 😂 nikisoma nahisi we ni wa mwisho kuzaliwa,
Kabisa me ni precious baby (Mjf ulonipa hili jina umepatia sana... ) wa kwanza na wa mwisho. Nilidekezwa sana na mazaa... ameniacha sasa napambana na wadunia wasiojua cha precious baby
 
Hahahaa Glenn nilikuambua juzi huyu Nakadori yuko vizuri sana upstairs , hasa hapo kwenye hiyo flirting . Hahahaa ina maana safari huwa inaishia njiani tu?? 🤣 🤣 🤣
Ninamuelewa huyu sana kupitia mwandiko...mjanja kuliko wanavyodhani
 
Kabisa me ni precious baby (Mjf ulonipa hili jina umepatia sana... ) wa kwanza na wa mwisho. Nilidekezwa sana na mazaa... ameniacha sasa napambana na wadunia wasiojua cha precious baby
Pambana,

Kwani hauna shem wa kukudekeza? Yani mwandiko umekaa kideko deko utundu utundu 😂😂
 
Back
Top Bottom