Ninavyoishi mimi na mke wangu

Anakupenda hayo madogo......mie mwenzako nasonga ugali saa 8 usiku..hapa najua linalewa huko....likija fasta nalisongea ugali......
Na tuitwe tu wanawake silipigii simu wala msg maana hapa ni kwake litazurura litarudi tu home.......

duh hahahaha hii kali aiseee
 
Hahaha wewe umelichoka li bwana ako
 
Kama ulisahau kondom mfukoni atakuifadhia katika suruali nyingine utakayovaa siku ya pili

Maisha si ndo hayo kuna nn tena?
 
Hahahaha jamani nyie viumbe hamueleweki mwee. Jana tu mmetoka kutuwashia Tuache tabia ya kuwakaripia. Sasa leo mmeanza tena kupenda kukaripiwa au? Kwa kweli sisi tutafata tu mdundo utakavyoenda

C.c atoto, Evelyn Salt, mkabasia
 
Last edited by a moderator:
Swala sio simu, je unauhakika mwenzi wako hana line ya siri?!
 
Hahahaha jamani nyie viumbe hamueleweki mwee. Jana tu mmetoka kutuwashia Tuache tabia ya kuwakaripia. Sasa leo mmeanza tena kupenda kukaripiwa au? Kwa kweli sisi tutafata tu mdundo utakavyoenda

C.c atoto, Evelyn Salt, mkabasia

Hahahahaaa Heaven Sent kumbuka mwanaume bila mke Unaendelea kuwa mtoto, kamwe huwezi kupeleka mambo yako kiutu uzima, ila mwanamke bila mwanaume anaweza akasongesha maisha vizuri kabisa!

Ww mwachie mme wako uhuru 100% uone yatwkayotokea😉
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa Heaven Sent kumbuka mwanaume bila mke Unaendelea kuwa mtoto, kamwe huwezi kupeleka mambo yako kiutu uzima, ila mwanamke bila mwanaume anaweza akasongesha maisha vizuri kabisa!

Ww mwachie mme wako uhuru 100% uone yatwkayotokea😉
Aah jana mmetupa makavu mnoo, eti sisi tunajifanya mama zenu. Mkichelewa kurudi tunawafokea. Sasa na Sisi tunanyamaza tu kimya, mtajinyoosha wenyewe. Kama mnafanya vitu makusudi ili tuseme, basi sisi hatusemi, hatuulizi wala hatununi yani.
 
Last edited by a moderator:
Aah jana mmetupa makavu mnoo, eti sisi tunajifanya mama zenu. Mkichelewa kurudi tunawafokea. Sasa na Sisi tunanyamaza tu kimya, mtajinyoosha wenyewe. Kama mnafanya vitu makusudi ili tuseme, basi sisi hatusemi, hatuulizi wala hatununi yani.

Hahahahaaa subiri wanaojua kufoka wamteke huko ndio utatia akili
 
Hahahahaaa subiri wanaojua kufoka wamteke huko ndio utatia akili
Teh hatekwi mtu ila anajiteka yeye mwenyewe, afu nyumba ndogo zinajuaga kumbembeleza tu, hazigombezi mtu.
Sometimes ni nzuri kucheza na saikolojia ya mtu kwa sababu wengine na haya magubu yetu tukifoka ni habari nyingine teh. Ila ikibidi kufokewa me nakufokea tu vizuri, ukiniona najifanya mama yako fresh tu ili ujumbe umeupata teh.
 
Pole sana usilo lijua nisawa na usiku wa giza..endelea kujifariji ila kuna jamaa hapa mtaani kwetu nmemsikia akijitapa kuwa mkeo mtamu saa cjui kama kweli
 
Kweli wanasemaga atii; Muosha naye huoshwa. Jinga kabisa. Hili nalo ni la kujisifia humu?? Unarudi wala hakununii kwa sababu kale kakipoozeo kake kaliondoka kaliposikia mlio wa gari lako. Weshali taymu na mlio wanaujua.
Kama hutaki kufa BP, usiende home kwa miguu saa hizo. Hakuna mtu mmbaya ka mwanamke akiisha kukudharau
 
thread za kitoto hizi. mtoa mada si ajabu ni kula kulala.
 
Alafu ulivyo...... unajisifia ati, na hii inaonyesha kabisaaa kuwa unajua ufanyacho sio sahihi lasivyo usingeiongelea, she is treating you good ili ujiongeze ubadilike uachane na hiyo tabia sio kwamba anaifurahia hata kidogo, dont take her for grabted, hakuna mwanamke anayefurahia mumewe kurudi saa8 usiku, akichoka ndio utajuta.
 
Eeee huyo mke anaingilia wapi.......
 
RIP ndoa yenu

Hahahaa tena RIP in advance maana hapo akirudi sa nane mke anamtext mchepuko wake "ndo limerudi hny" mchepuko nae anajibu "mkaushie baby take it easy,can't wait to see u later" wajinga ndo waliwao
 
Hahahaaa yan kumbe huwa mnafurahi? Basi ntendelea kuwa mpole no minuno ili uje alfajiri na mie niende kwenye kitulizo..ndo dawa yako....mwehu kabisa we mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…