Namuona mke namtoto wangu wamelala, mke hana noma nimempigia amepokea na amenifungulia Geti muda huu Saa 6 usiku.good enough kaniandalia msosi na maji ya kuoga na hakuna mnuno ananiuliza vi[i umesikia habari za Banadarini Leo?...hahaa...
Ameshanipigia pasi nguo za kesho na anajua kesho nitarudi Saa 8 usiku Jumamosi asubuhi ataacha maagizo kwa Dada aniandalie mchemsho wa samaki asubuhi, dont forget atawatoa kwenye friji wayeyuke na atapiga sim saa nne asubuhi kunijulia hali no mnuno!
Kikubwa jamani tuheshimiane na kupendana ata simu izi tuache kupekuana, sisi huwa wala hatushiki simu za mwenzie, but uwe na adabu ikipigwa ongea apo apo.