Ninavyofahamu UDSM hawawezi kutoa PhD ya mchongo labda hivyo vyuo vya Kata!

Ninavyofahamu UDSM hawawezi kutoa PhD ya mchongo labda hivyo vyuo vya Kata!

Huo ndio Ukweli Wenyewe

University of Dar es salaam hakuna PhD za mchongo ndio sababu wapenda mtelemko hukimbilia SA

Mlale unono!
Unafahamu kwa mtazamo wako wala huna uthibitisho wa ufahamu wako na ulicho andika hapa..Hivyo huwezi kuhitimisha kwa kusema UDSM hawawezi kutoa phD za Mchongo! Kwani inawezekana vile vile.
 
Unafahamu kwa mtazamo wako wala huna uthibitisho wa ufahamu wako na ulicho andika hapa..Hivyo huwezi kuhitimisha kwa kusema UDSM hawawezi kutoa phD za Mchongo! Kwani inawezekana vile vile.
Ulale unono
 
Yeah ni KWELI ila wasomi wengi wa KITAMBO WALISOMAGA ULAYA UNAKUTA MTU DEGREE MASTERS ZOTE ULAYA MWALIMU ALIKUWA UKIWA MIAKILI MINGI SCHOLARSHIP
 
Jiwe alipewa PhD fake. Thesis ya kemia ya mwanafunzi wa miaka ya nyuma ilichomolewa na Dr. Akwilapo na kisha jiwe akabandika jina lake.

Dr. Akwilapo akaula kwa kufanya ubakaji wa elimu na akateuliwa kuwa katibu mkuu wizara ya elimu (sijui hivi sasa yuko wapi!)
 
Walikwishatoa. Mojawapo ni ya Magufuli. Ukitaka kujua kuwa inawasuta nenda kaitafute Makataba kama vile unataka kufanya rejea. Aibu
Kwani walipoitoa PhD ya Magufuli huyo Magufuli alikuwa na cheo gani serikalini?
 
yule jamaa hakuwa mzima kiakili,yaani umeshiba kabichi huko unaoma wacha ufanye utafiti kuhusu uhalali wa elimi ya mtu!!!!
mbaya zaidi mtu mwenyewe ni kiongozi.

kwani ukimuacha nayo nawewe ukatafuta ya kwaki kuna tatizo!!!!

Kuwa kiongozi haimaamishi ufanye udanganyifu wa elimu na kuonea kuua wengine..

Kama alimuua ben saanane.. na yeye kauwawa kama panya.. malipo ni hapa hapa duniani.

Na hakuna mtu aliyefanya chochote kumzuia asife.

Hilo ni fundisho kwamba people are smarter than you huwezi waonea milele
 
Unafahamu kwa mtazamo wako wala huna uthibitisho wa ufahamu wako na ulicho andika hapa..Hivyo huwezi kuhitimisha kwa kusema UDSM hawawezi kutoa phD za Mchongo! Kwani inawezekana vile vile.
Thibitisha wewe kama wanatoa PhD za mchongo weka ushahidi hapa
 
JIWE ALIKUWA MTENDA HAKI VYETI CEETIFIED NA ADVOCATE THERE'S DIFFERENCE LAWYER AND ADVOCATE IF YOU KNOW WHAT I MEAN NILIITWA INTERVIEW FULANI SEMA NILIKUWA BUSY NA MICHONGO MINGINE AFTER CERTIFIED OF MY CERTIFICATE IN DODOMYA
 
Thibitisha wewe kama wanatoa PhD za mchongo weka ushahidi hapa
Wewe ushahidi ulioweka wa kwamba Hawatoi phD za Mchongo uko wapi???? Hapa umeweka mawazo yako tu yasiyo na uthibitisho leta kwanza ushahidi wako wa kwamba Hawatoi phD za Mchongo na sio mawazo yako ...
 
Back
Top Bottom