Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,196
- 4,782
๐๐๐๐Naona vijana wa chama cha demokrasia ya matusi (CHADEMA) wamechachamaa na kuporomosha matusi kwa mleta mada. Mnafanya kazi nzuri kueneza itikadi yenu ya matusi. Alichoandika Yericko ni kikubwa sana kwa akili zenu.
Kwa uelewa wenu na ndivyo mlivyoInawezekana wanashambulia mada wewe ukadhani wanashambulia mtoa mada.
Kwa nini wasithibitishe uwongo wake kwa kuweka hizo 'information'.Ukiona wanamshambulia ni kwa sababu information za kweli tayari wanazo na wanajua huyu mpumbavu anaandika andika tu "ujinga wake wa kichawa".
NINAVYO UTAZAMA MRADI WA REFINERY KENYA.
Jana Kenya na Dangote wamezindua mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu Kenya. Ni hatua muhimu sana, na ni mradi unaotazamwa kama alama ya uchumi imara wa Kenya wenye thamani ya dola Bilioni 20.
Lakini kwangu nautazama tofauti kidogo, Nafikiri ni haki kwamba Afrika Mashariki ielewe na kuufahamu kwa kina mkataba ulioingiwa kwa ajili ya Kiwanda hiki cha Kusafisha Mafuta cha Dangote kabla majirani hawajaanza kushangilia.
Hebu nikurejeshe nyuma hadi Lagos, Kiwanda cha Kusafisha Mafuta cha Dangote kule Lagos kilizinduliwa mwaka 2023 na kikaanza kuuza mafuta mwishoni mwa 2024. Kabla ya kiwanda hicho, huko Nigeria, mafuta yalikuwa yakiuzwa kwa bei ya N898 kwa lita (sawa na shilingi 87 za Kenya) nchi nzima ya Nigeria, lakini leo tunapozungumza mafuta (petroli) yanauzwa N1,450 kwa lita (Sawa na shingili 141 za Kenya).
Yaani Kiwanda hicho kimetengeneza Naira Bilioni 17.8 kwa miezi 6 (Sawa na shilingi Bilioni 1.74 za Kenya) huku Wanigeria wakilipa pesa nyingi kuliko wakati wowote. Hivyo ndivyo hutokea unaposhangilia kabla ya kusoma masharti na vigezo. Katika hili naona Dar es na Kampala zililing'amua.
Kabla Dangote hajakubali kujenga kiwanda Lamu aliweka masharti matatu magumu. Sharti la kwanza ni soko la uhakika. Kenya, Uganda na Tanzania lazima zikubali kununua mafuta yote yaliyosafishwa kutoka Lamu.
Nchi yoyote ambayo itajitoa kununua lazima isaini dhamana ya kulipa, yaani utalipa hata kama huchukui mafuta. Sharti la pili ni bomba la mafuta ghafi. Kenya lazima ijenga bomba kutoka Lamu hadi Turkana kwa gharama yake yenyewe ili kulisha kiwanda kwa mafuta ya Turkana pamoja na mafuta ghafi ya ziada kutoka Uganda na Sudan Kusini.
Sharti la tatu ni ardhi na mtaji wa awali. Ardhi ya Lamu tayari imeshapatikana na shingili Bilioni 21.5 za Kenya tayari zimekwishatengwa. Kwa ufupi Wakenya watalipia ardhi, watalipia bomba na bado watalipa Bilioni 64.7 za Kenya ili tu kumiliki asilimia 10. Ni nchi gani inayojitambua itakubali mkataba wa aina hiyo?.
Baada ya hapo Kenya na wadau wake walazimishwa kisheria kununua mafuta kutoka Lamu kwa miaka 20 hata kama mafuta ya bei rahisi yatapatikana Dubai au Urusi.
Ni katika eneo moja tu muhimu ambapo Mradi ni mzuri, kwa sababu utatoa ajira zaidi ya 60,000 lakini masharti haya ni mtego na maumivu zaidi kwa Kenya na wabia. Kiwanda kinachompatia mtu mmoja Bilioni 1.74 za Kenya kwa miezi 6 ni ukoloni wa kiuchumi, pamoja na kwamba mradi huu ni mzuri na nilitamani sana ujengwe Tanzania kama mazungumzo yangefikiwa na masharti hayo magumu kupunguzwa, Lakini Binafsi ningeishangaa Tanzania kukubali mradi ukiwa na masharti hayo mazito.
Tanzania na Uganda zilipendekeza kujadili upya masharti haya lakini Dangote na Nairobi wakahitaji utekelezwaji wa mradi kwa harakati. Na hivyo Tanzania na Uganda zikachagua kuanzisha mradi wake wa kujenga Refinery Tanga kwakutumia mbia mwingine kutoka Asia ya Mbali. Vinginevyo wakenya watakuwa wanapiga makofi kwa jela yeo wenyewe.
Na Yericko Nyerere
View attachment 3682074
Jasusi kama jasusi nikionaga chapisho lako NAMKUMBUKA Dr lwaitamaNINAVYO UTAZAMA MRADI WA REFINERY KENYA.

Wewe ni takataka unatumia akili ya kikatuga kuwaza. Mkataba huujui unashadadia. Kabla ya DP world kuja na sasa gharama zikoje bandarini?NINAVYO UTAZAMA MRADI WA REFINERY KENYA.

Wewe akili huna.Nilijua tu minyumbu lazima imtukane mleta mada kwasababu Uzi wake umeangazia athari za hiko kiwanda badala ya matusi au kumponda Samia ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Wanadekrasia haooooo wanataka nchi waiendeshe kidemokrasia.
Kwahiyo na wewe unaamini kuwa nchi wanachama wa EA tutalazimishwa kununua mafuta hapo?Nilijua tu minyumbu lazima imtukane mleta mada kwasababu Uzi wake umeangazia athari za hiko kiwanda badala ya matusi au kumponda Samia ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Wanadekrasia haooooo wanataka nchi waiendeshe kidemokrasia.
Mwambie Henje amwambie Abdul next mkeka wakutupe hata Namtumbo DAS maana unapambana sana.NINAVYO UTAZAMA MRADI WA REFINERY KENYA.
Jana Kenya na Dangote wamezindua mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu Kenya. Ni hatua muhimu sana, na ni mradi unaotazamwa kama alama ya uchumi imara wa Kenya wenye thamani ya dola Bilioni 20.
Lakini kwangu nautazama tofauti kidogo, Nafikiri ni haki kwamba Afrika Mashariki ielewe na kuufahamu kwa kina mkataba ulioingiwa kwa ajili ya Kiwanda hiki cha Kusafisha Mafuta cha Dangote kabla majirani hawajaanza kushangilia.
Hebu nikurejeshe nyuma hadi Lagos, Kiwanda cha Kusafisha Mafuta cha Dangote kule Lagos kilizinduliwa mwaka 2023 na kikaanza kuuza mafuta mwishoni mwa 2024. Kabla ya kiwanda hicho, huko Nigeria, mafuta yalikuwa yakiuzwa kwa bei ya N898 kwa lita (sawa na shilingi 87 za Kenya) nchi nzima ya Nigeria, lakini leo tunapozungumza mafuta (petroli) yanauzwa N1,450 kwa lita (Sawa na shingili 141 za Kenya).
Yaani Kiwanda hicho kimetengeneza Naira Bilioni 17.8 kwa miezi 6 (Sawa na shilingi Bilioni 1.74 za Kenya) huku Wanigeria wakilipa pesa nyingi kuliko wakati wowote. Hivyo ndivyo hutokea unaposhangilia kabla ya kusoma masharti na vigezo. Katika hili naona Dar es na Kampala zililing'amua.
Kabla Dangote hajakubali kujenga kiwanda Lamu aliweka masharti matatu magumu. Sharti la kwanza ni soko la uhakika. Kenya, Uganda na Tanzania lazima zikubali kununua mafuta yote yaliyosafishwa kutoka Lamu.
Nchi yoyote ambayo itajitoa kununua lazima isaini dhamana ya kulipa, yaani utalipa hata kama huchukui mafuta. Sharti la pili ni bomba la mafuta ghafi. Kenya lazima ijenga bomba kutoka Lamu hadi Turkana kwa gharama yake yenyewe ili kulisha kiwanda kwa mafuta ya Turkana pamoja na mafuta ghafi ya ziada kutoka Uganda na Sudan Kusini.
Sharti la tatu ni ardhi na mtaji wa awali. Ardhi ya Lamu tayari imeshapatikana na shingili Bilioni 21.5 za Kenya tayari zimekwishatengwa. Kwa ufupi Wakenya watalipia ardhi, watalipia bomba na bado watalipa Bilioni 64.7 za Kenya ili tu kumiliki asilimia 10. Ni nchi gani inayojitambua itakubali mkataba wa aina hiyo?.
Baada ya hapo Kenya na wadau wake walazimishwa kisheria kununua mafuta kutoka Lamu kwa miaka 20 hata kama mafuta ya bei rahisi yatapatikana Dubai au Urusi.
Ni katika eneo moja tu muhimu ambapo Mradi ni mzuri, kwa sababu utatoa ajira zaidi ya 60,000 lakini masharti haya ni mtego na maumivu zaidi kwa Kenya na wabia. Kiwanda kinachompatia mtu mmoja Bilioni 1.74 za Kenya kwa miezi 6 ni ukoloni wa kiuchumi, pamoja na kwamba mradi huu ni mzuri na nilitamani sana ujengwe Tanzania kama mazungumzo yangefikiwa na masharti hayo magumu kupunguzwa, Lakini Binafsi ningeishangaa Tanzania kukubali mradi ukiwa na masharti hayo mazito.
Tanzania na Uganda zilipendekeza kujadili upya masharti haya lakini Dangote na Nairobi wakahitaji utekelezwaji wa mradi kwa harakati. Na hivyo Tanzania na Uganda zikachagua kuanzisha mradi wake wa kujenga Refinery Tanga kwakutumia mbia mwingine kutoka Asia ya Mbali. Vinginevyo wakenya watakuwa wanapiga makofi kwa jela yeo wenyewe.
Na Yericko Nyerere
View attachment 3682074
Sawa, mlikuwa mnajua chadema tu kinachoendelea ๐คฃ๐คฃWewe akili huna.
Unajua chanzo cha bei ya mafuta kuanda Nigeria? Unajua kama siyo Dangote hiyo bei ingekuwaje wakati huu na ingepanda mara ngapi?
Mradi wa mafuta Kenya Rutto alimpiga mama yenu bao la kisigino na alikuwa hajui kinachoendelea.
Acha ujinga
Hio ilikua fursa kwa tz
mkuu magari ya umeme yalijaa 19s huko marekani hadu ford alivyogundua ya mafuta watu wakaachana naya umeme kwa wakati ule kama hufahamuMagari ya umeme yanakuja, hii miradi ya mafuta ni useless, chemical industries hazihitaji multibillion investment kama hii,na commitment ya kuwa mteja wa refinery for life ni hasara tupu
sudani wana mafuta toka kitamboUwezo wako wa kupambanua hoja ni wa zile siasa za maji machafu na kuchukua story za mtandaoni kisha kusema unaandika vitabu.
Unamzuiaje tajiri kwa mfano? Akijenga refinery, anajua atapata wapi malighafi. Kama Uganda itakataa, hata South Sudan wana mafuta, as we speak....
Tunakwama wapi kujiongeza na kujua we are not in control of everything in the world? Kuna games lazima upambane kuwa mkubwa ili uweze kucheza...
Tuendelee na tunayoyaweza....ya siasa zetu za kijingajinga
Hilo jinga mkuu! ๐
Pumbavu kabisa
Jasusi uchwara ktk 1 na 2.
Sijui umeandika nini ila jinga kubwa wewe
Propaganda za kiuchumi katika zama hizi haziwezi kudanya kazi, pia hauwezi waambia uongo watu wote wakakubari
Zezeta la Lumumba , kwamba wewe una akili kuliko wakenya .
Halafu huo mkataba wa Kenya umeuona wapi , uweke hapa tuuone.
Weka hapa mkataba wa Kenya na huo wa Tanzania tuuchambue usifikiri hapa uko kikao cha matapeli mnaojiita CHAUMMA kumbe ni CCM.
Tapeli mkubwa wewe.
Sijasoma ila najua huyu Chawa kaandika utumbo mtupu, nipe like kama nimepatia..
Mpumbavu wewe mjinga . Gharama ya mafuta Naija ilipanda baada ya Tinubu kuondoa subsidies kwenye mafuta . Dangote amesaidia pakubwa kutuliza thamani ya fedha ya Naija.
Wewe ni mweupe kabisa kichwani. Mjinga sana wewe jamaaa kumbe. F_ck you.
Upotoshaji wa wazi wazi. Bei ya mafuta Nigeria ilipanda baada ya serikali kuondoa ruzuku kwenye mafuta na si sababu ya kiwanda cha Dangote. Pia hakuna sharti la kupata mafuta kutoka Turkana. Kiufupi umepotosha kwa quality ya chini sana.
Chawa wa Sultan Mbowe katika 1 & 2 zako.
Umekosa ukuu wa Wilaya umekimbilia huku kuleta uongo. Kafanya utafiti ni kwanini mafuta yalipanda bei Nigeria. Halafu wewe ulikuwa CHADEMA juzi, usijifanye mwana CCM kuliko ulio wakuta.
Mleta uzi,unawachukulia watu wote kama upo bustanini/kinyunguni kwako unapogolea bamia,sivyo?
Ni vile TU ukiwa mjinga na mpumbavu basi na watu wote unawaona ni wajinga kama wewe.
We jamaa, kumbuka kwamba una Upumbavu Fulani hivi kichwani kwamba wewe una akili kuliko wenzako! Kashauri mkeo Kaka!
AHAAAA AAHAA AHAAH AAAH. DALALI WA SIASA KATIKA UBORA WAKE. VIPI SULTANI WENU MBOWE HAJAMBO?
Yericko Nyerere you are contradictory!
Kwa sasa tunakosa serikali makini ya kufanya negotiations kwa maslahi ya WaTanganyika!
Badala yake kina Kikwete, Abduli & Co wapo busy kufanya collabo na matapeli kama Chivayo na Waarabu kwa maslahi ya wachache!
Gharama za maisha zimepanda hata Bwawa la Mwl Nyerere walisema mradi ukikamilika unit za umeme zitashuka leo hii unit ndo kwanza zimepanda kuliko tulivyoaminishwa.
Hata huko Asia mafuta yanapopatikana mafuta hayajawi kushuka huwa yanapanda kutoka na gharama za uendeshaji kupanda, achilia mbali na vita.
Tunataka kuangalia faida inayopatikana kwa sasa (Nigeria leo hawaagizi tena mafuta kwa wingi kutoka nje kama zamani ) laiti wangekua wanaagiza kwa wingi leo hii mafuta yangekua ghali zaidi.
Ulichoandika ni wivu.
Maana turudi hapa Tz tuna gesi bei yake ipoje ?
Tuna viwanda vya siment bei yake ikoje ?
Hata hilo bomba la Uganda na Tz linalotarajiwa kujengwa mkataba wake pia ni huo huo wa kinyonyaji wala hautaleta unafuu wowote.
Yericko Nyerere wewe ni takataka huna unachokijua kwanza tuwekee CV yako hapa kuhusu elimu yako kama sio zile Elimu za hapa na pale tangia umewekwa kwenye vile vibanda vya njiwa mahakamani kwenye kesi ya Lissu nilikudharau sana
Tumsimpe umuhimu asiokuwa nao huyo kibaka
Siku hizi nikiona andiko la huyu jamaa naona kama anataka kututapeli hata angeandika je!
Wale wa nchi ya mizimu hawataki kusikia hii fusra cuz hawataki wananchi wanufaike bila wao kunufaika pakubwa ๐
Nchi gani mafuta hayajapanda bei? Leo ukilinganisha na 2023? Commodity markets ni volatile sielewi hii hoja umeiweka hapa as if iko driven na variable moja tu ya Dangote refinery na sio price shocks sababu ya vita, supply chain bottlenecks, uncertainty n.k
Baki kuchambua ujasusi wako uchwara mambo ya uchumi achana nayo
Kichwa kinachotumika kufikiri ni hiki hiki?
Wewe ni takataka unatumia akili ya kikatuga kuwaza. Mkataba huujui unashadadia. Kabla ya DP world kuja na sasa gharama zikoje bandarini?
Haya ile DP WORLD uรฑiluwa unaipigia promo imefika wapi
Kwahiyo na wewe unaamini kuwa nchi wanachama wa EA tutalazimishwa kununua mafuta hapo?
mkuu magari ya umeme yalijaa 19s huko marekani hadu ford alivyogundua ya mafuta watu wakaachana naya umeme kwa wakati ule kama hufahamu
sudani wana mafuta toka kitambo
HUYU JAMAA Nilikuwa namuheshimu ila sasa.
1.Najutia kununuaga kitabu chake ni miaka mwingi nilinuiaga kabisa nikakuta jamaa ame copy tena mara nyingi huku huku na kuna watu walitaka wampeleke mahakaman MELO akawapunguza hasira na walikataa hela yake yakluwa puuza
2.Namtangaza kuwa kwa wakati huu nakutangaza yericko sijui nani KAMA TAHIRA NAMBA MOJA TRANZANIA MWEHU,KICHAA,GOI GOI ISEMBO ETC yani mkataba ni kenya alafu Tanzania tulazimishwe kununua mafuta?????????
3.Akili yako kama sio kizibo ni umeelemewa na pombe ama madawa au una mgogoro na maisha yako nafsi etc
kabisaWizi mtupu kufuatilia hawa wababaishaji. Hana lolote la maana analoleta.
Kwanza nimemsikia Dangote alisema kiwanda kitalisha mahitaji ya Mafuta ya USA badala ya hapa EAC.NINAVYO UTAZAMA MRADI WA REFINERY KENYA.