Kabla hata hajachaguliwa na watanzania kwenye sanduku la Kura.tayari mwalimu malecela anasema watamkumbuka.
Huyu Mama mara chache sana namuona akitabasamu
ni kama ana zigo la stress.....
Gazeti la Nipashe limesha mtosa mamvi! Ama kweli rafiki wa kweli huyupo duniani
Magufuli ana ndugu yake (mdogo wake) alikua ana fundisha chuo cha maendeleo ya jamii musoma.... Sasa uyo maisha alokua akiishi.... Mtu akisema ndo uzalendo atakua anatukosea sana wananchi..
Kwa kipindi nilicho muona alikua akiishi maisha ya shida sana, japo alikua msomi lkn stl dah.... Maisha zaidi ya uasili!!!.
Usafiri na English course vitakusaidia nin ukijua?
Yani unatafuta Negativity tu?
Haya mama yako ameshajifunza English kozi na anadrive usafiri wa aina gani?
Hiyo shule daa!nifanye mishe nami nimpeleke wife huko naweza bahatisha upresidaaa.
Khaa!! Wengi hawalioni, wanaona makosa ya kiingereza zaidiHongera zake japo ni magufuli si magufuri tatizo la r na l ni kubwa sana hapa JF
Alikua ana drive usafiri wa aina gani?
Hivi ameshajifunza english kozi?
Ila nampenda the way alivyo inaonekana hana uswahili km wa Salma....
Mama yangu hana hiyo nafasi kwasasa na hana mkutano ata mmoja wa kimataifa ambao anategemea kuuongoza TAKE THAT! Kuuliza hayo maswali nina maana yangu kubwa tu ila kwa pimbi km wewe huwez elewa...Binafsi sina chuki ata chembe na Janet ila niliuliza ili great thinkers wadadavue lakin narow minded like ukadandia treni kwa mbele...Huna hoja pita kimyakimya..as long as ni presidential hopeful we'v the right to know na sio ya wale wa Tanzania ni union btn Tanganyika n Zimbabwe
Si mpenda makuu. Akiwa first lady tunaidea rais wetu atakuwa na mtu wa sampuli hiyo
Huenda hataweza kumshawishi mumewe by then rais kufanya mambo ya ovyo
Mfano kutaka magari 7 ya kifahari, shoping kila mara ulaya, nk
Wanawake waaathiri sana wanaume
Hivi kuna sheria inakataza mke wa raisi kuendelea na kazi ya ualimu? Au ni mambo ya usalama?Wanasikitika nini hao wanafunzi...
Kwani huyo Magufuli kashapata huo urais hata wasikitike kuondoka kwa mwalimu wao???