Mkuu unaweza kushare exterior design yake walau paa lake ?Utadhani mshikaji kakopi na kupesti nyumba yangu. Kila kitu hivyo hivyo
sawa nawezaMkuu unaweza kushare exterior design yake walau paa lake ?
Itapendeza ukishare pm au hapahapa nataka nione paa lake linaonekanaje na mimi nijilipue mwaka huusawa naweza
Kuna mzee mmoja aliwalaza wageni hospitali wodiniNyumba ya vyumba vi3 ndo nzuri,wageni wataenda kulala Lodge kwa gharama zao....
Najaribu ku retrieve full images zinagoma kutoka kwenye source yangu. Nikifanikiwa ntakupatiaItapendeza ukishare pm au hapahapa nataka nione paa lake linaonekanaje na mimi nijilipue mwaka huu
Asante sana mkuuNajaribu ku retrieve full images zinagoma kutoka kwenye source yangu. Nikifanikiwa ntakupatia
View attachment 1843835
View attachment 1843836
Mgeni akija ajipange ajue atafikia wapiKama uchumi unaruhusu jenga nyumba ya kueleweka, yenye vya kutosha(angalau kuanzia 4).
Mambo ya kulazimika kulala kwa jirani ili umpishe mgeni sio poa kabisa
Mkuu tatizo ni uwezo, kibongo bongo kutokana na uchumi wa mtu mmoja mmoja kutoruhusu kumiliki nyumba kubwa wengi wamechagua style hii ya ujenzi, master bedroom chumba cha watoto wa kike na chumba cha watoto wa kiume bora familia yake ijisitiri ila kama mtu uwezo unao siyo mbaya nyumba yako kuwa na vyumba kuanzia vitano+ ili kukamilisha mahitaji yote.
Hicho choo cha wote hapo mtu akibwaga mzigo mnakoma. Hasa ukute wale jamaa mzigo unanuka utasema amemeza nyoka! Huwa inakera sana.