Plot4Sale Ninauza viwanja Maeneo ya Mwanza

Plot4Sale Ninauza viwanja Maeneo ya Mwanza

Kama bado hujapat kiwanja,mji unaendelea kubanana.Ni vyema ukajichanga na kuamua kuchukua kiwanja muda huu.

Sasa tuna viwanja maeneo ya pembezoni kisesa.Maeneo kama changabe,igekemaja na kule mikoroshoni sehemu maarufu kwa jina la chuo Cha Dotto Biteko. Bei zetu ni za kawaida kabisa na kila mtanzania anaweza kumudu kupata kiwanja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom