ninauza suzuki escudo black ya milango mitano. Gari bado iko kwenye hali nzur kabisa na haina historia yoyote ya ajali. Matairi bado ni mapya kabisa na ina vibali vyote.Wala engine haijawahi kuguswaguswa.
Ina namba BFB
Ina km 178,000
Automatic gear
Bei ni milioni 7.5
Kwa maelewano na maongezi tafadhali nitafute kwa 0656497469 ama 0763969066
Nimepata shida kidogo kuweka picha sababu ya mtandao ila nitafute whatsapp nitakutumia 0763969066