Wadau, habari zenu!!
Nina miliki smartphone HTC One X...Simu hii niliinunua yapata miezi miwili sasa. Wiki mbili zilizopita niliiangusha bahati mbaya katika sakafu na hivyo kuvunjika screen na kwa sasa touch yake haifanyi kazi kabisa, na hivyo inahitaji ibadilishwe.
Na katika maduka makubwa ya simu na accessories zake kama Sapna kwa Dar na T-Mobile kwa Dodoma, complete touch na Screen za HTC One X wanauza kati ya Tsh 80,000-150,000 na gharama ya ufundi ni Tsh 10,000.
Binafsi, nimeamua kuiweka sokoni kwani nimenunua simu nyingine HTC One M8
Bei ni maelewano. Sitegemei bei ya kumuumiza mtu na wala sitegemei bei ya kuumizwa.
Ni HTC One X Original kabisa. Na kwa wanaojua simu, wanajua nini HTC One
Ukihitaji, ni PM.