Ninauza simu, Tecno H6 kwa laki 1 tu.

Ninauza simu, Tecno H6 kwa laki 1 tu.

Ronee

Senior Member
Joined
Jun 1, 2018
Posts
155
Reaction score
155
Wakuu simu tajwa hapo juu inauzwa, iko katika hali nzuri sana na haina tatizo lolote. ukinunua unaweka line zako unakuendelea na mambo mengine.

Kwa mwenye uhitaji piga or whats up namba 0687332088. nikutumie picha..napata taabu kuapload picha hapa jukwaani.

Karibuni.
 
Bila picha ya bidhaa humpati MTU .....
Kula hamsini nimnunulie mama yangu
 
Wakuu simu tajwa hapo juu inauzwa, iko katika hali nzuri sana na haina tatizo lolote. ukinunua unaweka line zako unakuendelea na mambo mengine.

Kwa mwenye uhitaji piga or whats up namba 0687332088. nikutumie picha..napata taabu kuapload picha hapa jukwaani.

Karibuni.

Tangazo lako linakosa vitu vingi:-

1. Picha (umetoa excuse)
2. Umeitumia kwa muda gani?
3. Uko wapi?
4. Kwa nini unauza?
5. Box na receipt?
 
kinachonishangaza hizi simu zimetamba 2015 mpaka leo 2018 zibaki na standard ile ile kweli??

kila la heri
Mkuu hizi simu ni moja kati ya brand imara sana za tecno
 
Mkuu hizi simu ni moja kati ya brand imara sana za tecno
nakuunga mkono ni moja kati simu bora kabisa za Tecno kwa hilo hakuna ubishi

lakini hiyo bei ndio tatizo
 
Wakuu simu hii ipo Dodoma, sababu ya kuuza ni dharura ya pesa (kimfaacho mtu chake) kama nilivyosema haina tatizo lolote, risiti ya manunuzi IPO

Simu yenyewe ndio hii naitumia kuperuz hapa Jf muda huu..so let's negotiate kwa anaehitaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom