Ninauza Lumia 625 kwa 180 na Tecno H6 kwa 140

billz949

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
311
71
Habari wanajamvi,nina dharura ya kifedha so ninauza simu zangu tajwa zote zikiwa katika grade "A" condition. Kama uko serious unahitaji then nitafute kwa ajili ya picha na maelewano.
Nokia Lumia 625........180,000/=
Tecno H6...................140,000/=
Nitafute kwa 0656497469 ama 0763969066
 
vp mzigo bado upo?
 
We jamaa mchawi, hiyo post imewekwa tarehe ngapi?
Dec 23 mwaka jana. usinifikirie vibaya mkuu nina shida na lumia 625 nimeitafuta sana madukani nimekosa hivyo ndo naamua kutafuta used hivyo kama unayo au kuna mtu unaemfahamu anayo naomba uniunganishie.
 
Mimi Ninayo Used hapa Laki na Nusu Funguka
 
Tuma pesa yako Tu Tata kana simu ntakutumia au kama Una mtu Musoma au Mwanza Mtonye anisome
 
next month nitakuw bunda kama utakua nayo nitakutafuta.

ila nambie imetumik muda gani haina tatizo llote? then bei tutaongea...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom