Ninauza Shamba Vigwaza

Ninauza Shamba Vigwaza

fumbokuu

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
42
Reaction score
37
Wandugu Nina ekari 100 pale vigwaza ninauza. Umbali Wa kutoka barabarani ni km 1 tu. Ninaweza kuuza hata kwa vipande vipande. Kama kuna MTU yupo interested anipigie 0676806077 tuongee.
 
Kiwangwa zipo zinauzwa ekari sabini kati ya hizo kumi Na tano zina miti ya teak , maembe Na machungwa
 
Wandugu Nina ekari 100 pale vigwaza ninauza. Umbali Wa kutoka barabarani ni km 1 tu. Ninaweza kuuza hata kwa vipande vipande. Kama kuna MTU yupo interested anipigie 0676806077 tuongee.
Mkuu weka bei ili uwashawishi watu waje kununua.
 
Vigwaza ni very fertile
kama ni swali daah sio kivile there places zipo fertile especiallY vijiji vYa jiran na NAFCO na Kidogozero kuliko pakana pakana na mto ruvu sehemu zingine kama kambini ni kukame kiasi kwamba in sept wanashare maji na ng'ombe wa narco kwenYe Yale malambo
 
Hayo maeneo mnadai yenu mmepima na Hati mnazo?
 
Mkuu huko kunako uzwa heka laki2 je upatikanaji wa maji yanapatikana a kuna makazi ya watu au nishamba na upande wa kilimo je hao wakazi wa hapo wanalima nn
 
Back
Top Bottom