SOLD: Ninauza shamba langu Bagamoyo (Fukayosi)

Status
Not open for further replies.
Mi ningekushauri either badili bei au badili aina ya tangazo.

"Insanity Is Doing the Same Thing Over and Over Again and Expecting Different Results"
- Albert Einstein
 
Nashukuru mkuu kwa kuhusu bei , aina ya tangazo sijakuelewa hapo ndg yangu
 
Habari wakuu.

Nina shamba langu nauza, lipo bagamoyo kijiji cha fukayosi.

Ni takriban kilomita 18 kutokea bagamoyo mjini mpaka lilipo shamba.

Shamba limepimwa, lina hati, limezungushiwa kingo pande zote na halina mgogoro wowote.

Gari inafika mpaka shamba maana eneo limepangiliwa na barabara zinapitika majira yote.

Ukubwa wa shamba ni hekari mbili.
Shamba halina dalali kwani mimi ndie muuzaji na mmiliki.

Bei ni Shilingi Milioni tatu (3), pungufu tunazungumza.

Tunaweza kuwasiliana kupitia PM Kwa aliye tiyari pia kwa utaratibu wa kuliona shamba na kujiridhisha.

Kwa wahitaji karibuni sana.

Pengine kuna details ungeongezea zaidi,
- Je Limesafishwa??
- Kutoka Lami hadi shamba ni Umbali gani?
- Linalimika mazao gani??
- etc
 
Asaante Mkuu .

Ukipitia mjadala mzima hakuna nilichokificha!

Ila siyo mbaya nitajibu tena.

Shamba ni Safi nilishalisafisha , hamna miti wala visiki zaidi ya majani ya kawaida tu.

Kutoka lami mpaka lilipo Shamba hesabu Km 8.

Nanasi huku ndio penyewe

Shamba lina beacon pande zote kwa ajili ya mpaka.

Ni eneo zuri sana ukilinganisha na bei tajwa, ni changamoto tu za kimaisha ndiyo zimenifanya niliuze but mnunuzi hatojutia.
 
Kaka,
Mi nazungumzia kule juu kwenye main topic,
Usitegemee prospected mteja akapitia uzi mzima asome comment by comment mpaka sasa ziko 148 ndio ategemee kuelewa na kununua. Hata hichi ulichokifafanua hapa sana sana utakua umenifafanulia mimi tu, labda na wengine wachache,

Rudi Juu kwenye tangazo ka-edit uweke hizo details tangazo livutie zaidi, so long as ku edit sio dhambi na inaruhusiwa nenda kafanye hivyo. Huku kwenye comments sio kila mtu anapitiaga.
 
Mkuu nashukuru kwa muda wako wa kujitolea, nifanya hivyo kiongozi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom