J J4zo New Member Joined Aug 6, 2019 Posts 4 Reaction score 3 Apr 2, 2023 #1 Habari za leo wana JF, Mimi ni mfugaji wa mbuzi nipo Geita wilaya ya mbogwe nina uza mbuzi. Mbuzi wapo 23 bei ni maelewano Karibuni.
Habari za leo wana JF, Mimi ni mfugaji wa mbuzi nipo Geita wilaya ya mbogwe nina uza mbuzi. Mbuzi wapo 23 bei ni maelewano Karibuni.
Tuna JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 1,823 Reaction score 2,475 Apr 2, 2023 #2 Weka picha ya hao Mbuzi watu waone afya zao wasijejua ni Mbuzi ya kukunia nazi
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 15,973 Reaction score 18,442 Apr 2, 2023 #3 Mbona kama wanamatege kiongozi
M MZAWA JF JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 4,709 Reaction score 4,219 Apr 3, 2023 #4 J4zo said: Habari za leo wana JF, Mimi ni mfugaji wa mbuzi nipo Geita wilaya ya mbogwe nina uza mbuzi. Mbuzi wapo 23 bei ni maelewano Karibuni. Click to expand... Ngosha weka bei basi? Sikukuu inakaribia
J4zo said: Habari za leo wana JF, Mimi ni mfugaji wa mbuzi nipo Geita wilaya ya mbogwe nina uza mbuzi. Mbuzi wapo 23 bei ni maelewano Karibuni. Click to expand... Ngosha weka bei basi? Sikukuu inakaribia
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,898 Apr 3, 2023 #5 Tuna said: Weka picha ya hao Mbuzi watu waone afya zao wasijejua ni Mbuzi ya kukunia nazi Click to expand... Ha ha ha ha watu bwana.
Tuna said: Weka picha ya hao Mbuzi watu waone afya zao wasijejua ni Mbuzi ya kukunia nazi Click to expand... Ha ha ha ha watu bwana.
baloz89 JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,228 Reaction score 1,813 Apr 3, 2023 #6 Olejinja magana ganga emboli ong'wise....