INAUZWA Ninauza Freezer used nzuri sana

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,552
3,513
Ni freezer aina ya Syinix.

Lita 263

Ni used lakini kama mpya.

Haijawahi kuwa na tatizo wala kutengenezwa.

Inapatikana Dar es Salaam.

Nauza tsh. 500,000 au kama una friji ya kioo (show case) exchange inakubalika.

IMG_20220809_125227.jpg
IMG_20220809_123833.jpg
IMG_20220809_125256.jpg
 
Mku naomba kujua kama lina dhemostate yaani ubaridi ukizidi huwa linajizima lenyewe?
Je kwa amount uliyoiweka maongezi yapo?
Na Dar unapatikana wapi kwani mm nipo Dar Pugu
 
Mku naomba kujua kama lina dhemostate yaani ubaridi ukizidi huwa linajizima lenyewe?
Je kwa amount uliyoiweka maongezi yapo?
Na Dar unapatikana wapi kwani mm nipo Dar Pugu
Mkuu sijui kuhusu themostat kwakweli. Maana mi tangu nilinunue nalitumia dukani, huwa naliwasha saa moja asubuhi ikifika saa saba mchana nazima hadi kesho tena, maana linakuwa limepoza vya kutosha. Ndo nimezoea hivyo kila siku. Kuhusu maongez ya bei mpaka ulione kwanza.

Na uzuri nalitumia mimi mwenyewe tangu linunuliwe.

Nipo Kimara, karibu ulione.
 
Kimara ipi Mku.
Ulilinunua mwaka gani.
Asante
 
Mku naomba kujua kama lina dhemostate yaani ubaridi ukizidi huwa linajizima lenyewe?
Je kwa amount uliyoiweka maongezi yapo?
Na Dar unapatikana wapi kwani mm nipo Dar Pugu

mkuu ni thermostat kwa kuongezea nyama...kikawaida refrigerator zote zina thermostat hata kama ikiharibika kuiweka ni bei rahisi tu
 
Leo ndugu yangu nimeshindwa kwani kuna jambo limenibana.
Ila jumanne nina uhakika wa kuja huko.
Asante
 
Leo ndugu yangu nimeshindwa kwani kuna jambo limenibana.
Ila jumanne nina uhakika wa kuja huko.
Asante
Mkuu nimeahirisha kuuza maana lengo lilikuwa niuze ili ninunue fridge la kudisplay,. lakini tayari nimeahidiwa kupewa la kampuni. Kwahiyo siuzi tena labda nikilikosa hilo ndo nitakuja kutangaza tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom