Ninaushauri juu ya ripoti CAG

Ninaushauri juu ya ripoti CAG

Milazetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2025
Posts
300
Reaction score
270
Mwenzenu toka nimepevuka kiakili miaka yote ninapofatilia ripoti ya CAG ni ubadhirifu na hasara tu na hakuna wakuchukuliwa hatua huku wananchi tusiyo na mamlaka tunazidi kuchoka.

Sasa nashauri tupaze sauti CAG must go kwakuwa ni sawa na mbwa anayebweka huku anakimbilia ndani mana hata anapotusomea ripoti anatekeleza wajibu na wajibu hauna matokeo ya mabadiliko,cheo hicho kifutwe Nchini.

Pili kwakuwa msimamizi mkuu wa serikali Rais hajawahi kuchukuwa hatua kwa taasisi zilizotajwa kwenye riioti basi naye ajihudhuru kwakushindwa kusimamia hili.Kuwa kimya ni udhaifu.
 
Screenshot_20250329-115830~2.png

Yaani ccm watahakikisha wanawaondoa wananchi kwenye ripoti ya CAG
 
NO No No CAG ni taasisi ambayo ipo kikatiba japo bwana yule alikua anaisigina katiba mchana kweupe. CAG ametekeleza wajibu wake kikatiba japo naamini ni taarifa ambayo haipo deep sana. KUtokana na muda mchache anaopewa kukagua matokeo yake ni kupita juu juu tu na makando kando mengi na ya kutisha huachwa. Kumbukeni ofisi ya CAG inaendeshwa na binadamu na sio malaika. As to my observation, my opinion is that, it is the gvt must be responsible, lkn unakuaje responsible uache utamu, ili iwaje, ni kuyafumbia macho , uchaguzi uje bila marekebisho tuendelee kupeta. Hivi mtoa mada unaijua vi eighty wewe, tuache bwana, CAG haondoki na sisi hatuondoki, jamani ni maoni yangu tu, kumbukeni mida hii kidogo swaumu imekaza na ukizingatia leo ni swaumu ya mwisho
 
CAG ametekeleza wajibu wake, SERIKALI chini ya rais ndio inapaswa kufanya maamuzi, hapo ni serikali ndio yakulaumiwa inafumbia macho uovu.

Acha CAG aendelee kuweka mambo hadharani, pengine kizazi chetu cha mazombie kitapotea, watakuja vijana wenye uthubutu, nchi ikakaa sawa.
 
Tunaumia sana wananchi.Uongozi chini ya ccm umeshindwa.
 
CAG ametekeleza wajibu wake, SERIKALI chini ya rais ndio inapaswa kufanya maamuzi, hapo ni serikali ndio yakulaumiwa inafumbia macho uovu.

Acha CAG aendelee kuweka mambo hadharani, pengine kizazi chetu cha mazombie kitapotea, watakuja vijana wenye uthubutu, nchi ikakaa sawa.
Tumefanywa misukule kwenye Nchi yetu.
 
NO No No CAG ni taasisi ambayo ipo kikatiba japo bwana yule alikua anaisigina katiba mchana kweupe. CAG ametekeleza wajibu wake kikatiba japo naamini ni taarifa ambayo haipo deep sana. KUtokana na muda mchache anaopewa kukagua matokeo yake ni kupita juu juu tu na makando kando mengi na ya kutisha huachwa. Kumbukeni ofisi ya CAG inaendeshwa na binadamu na sio malaika. As to my observation, my opinion is that, it is the gvt must be responsible, lkn unakuaje responsible uache utamu, ili iwaje, ni kuyafumbia macho , uchaguzi uje bila marekebisho tuendelee kupeta. Hivi mtoa mada unaijua vi eighty wewe, tuache bwana, CAG haondoki na sisi hatuondoki, jamani ni maoni yangu tu, kumbukeni mida hii kidogo swaumu imekaza na ukizingatia leo ni swaumu ya mwisho
Nawe unatuchanhanya bhana.
 
Hivi ndugu zetu wanaelewa CAG anaposema matumizi yasiyo na tija?😀
📌 Kwenye utetezi wa umeme kutoroka njiani usifike Arusha ilitajwa ili kusolve changamoto hiyo inabidi serikali iingie gharama ya kujenga kituo kidogo chenye gharama ya takribani bil 20. Kwa kokotoo hili la CAG humo mna vituo vya kupokea na kusambaza umeme kwa wananchi vingapi?
 
Back
Top Bottom