Thubutuu..!! 😹😹😂😂😂😂 uduguu, mbona ninalea mwenzio.
Usiseme hujui.
Bila shaka utapona dear.Guys nasikia kizungu zungu mwili unatamani kulala tu muda wote siko sawa, hapa nipo hospital kwa mara ya pili niombeeni ndugu yenu
Beba mikate uje nayo hapa jukwaani.Chai
🤣🤣🤭 Mkorofi weweHapo sijui itakuwa mimba ya nani kati ya wale wababa wawili uliowagonganisha bar..!! 😹😹😹
Pole uanze clinic mapema mtoto wetu atoke na afya..!! 😍
Na hii ni Id yako nyingine?.Beba mikate uje nayo hapa jukwaani.
Watu wengine sijui mna nyegge au upwiru!
Hizo dalili zote za prego 😹😹🤣🤣🤭 Mkorofi wewe
Pole sali sala ya toba kuungama dhambi zako na kuomba kumkubali Yesu kama Bwana na Mwokozi wako aingie moyoni mwako na udhamilie kutorudia dhambi tena kusha omba uponyaji na kushirikisha wengine wakuombee utapona bila shidaGuys nasikia kizungu zungu mwili unatamani kulala tu muda wote siko sawa, hapa nipo hospital kwa mara ya pili niombeeni ndugu yenu
Guys nasikia kizungu zungu mwili unatamani kulala tu muda wote siko sawa, hapa nipo hospital kwa mara ya pili niombeeni ndugu yenu
Asante mkuuPole sana.
Asante mkuu nitafanya hivyoPole sali sala ya toba kuungama dhambi zako na kuomba kumkubali Yesu kama Bwana na Mwokozi wako aingie moyoni mwako na udhamilie kutorudia dhambi tena kusha omba uponyaji na kushirikisha wengine wakuombee utapona bila shida
Lakini kama hutaki kuokoka na kuacha dhambi kabisa unataka tu uponyaji nisikudanganye hiyo sala.ya kuponywa ngumu Ugonjwa huo waweza kukuua
Siyo kweli nina mwezi sijashiriki haiwezi kuwa hiyoHizo dalili zote za prego 😹😹
Muhimu mtoto atoke na afya wale wababa Sina Shaka nao kwenye malezi..!!
Asante sana mkuuPole
Asante sana mkuu Mungu ni mwemaPole sana binti Sayuni, get well soon 🙏
Sina ujauzito